Zanzibar inaongoza kwa kuwa na idadi kubwa ya MASHOGA wenye Ukimwi

Status
Not open for further replies.
Jamaa huyu ni mpemba anayeishi Doha, ana tabia ya kuleta udini sana

una point hapo mkuu,....

ila unabore pale tu unapoingiza udini kwenye michango yako mingi,....lakn hapa umena,,kamwe hauwezi kumuwajibisha mtu yoyete bila kuwa na evidence
 
Mwanasheria mkuu wa Z'bar amesema watu wanaojihusisha na mapenzi ya jinsia moja visiwani hapa hawawezi kutiwa hatiani bila ya kuwapo kwa ushahidi dhidi yao................................ Chanzo: nipashe.

Utapataje ushaidi kwa jambo kama hili?
 
Utapataje ushaidi kwa jambo kama hili?
na utampelekaje mahakani mtu bila ushahidi,....hapo ndipo utata ulipo,....mimi nafikiri tungekua tunafanya kama vile zuma(rais wa rsa)alivyosema_ukikutana nae njiani usimpishe na mgonge viwiko,.........ni tabia inayochefua sana
 
Utapataje hao watu wasio pungua watatu, meaning wanaume watatu AU wanawake SITA? Au na hao mashaidi ndio hivyo tena?

Huu si ndio usanii ninao usema kuwa wanafagilia ushoga?

Nafikiri nimekufafanulia vizuri sana lakin nashangaa mwenyewe unaongeza mambo.

Labda nijuze Kwani Zanzibar wanafata sheria za Kiislamu?
Nipo hapa Unguja leo lakini sijalisikia hilo naomba mwongozo wako.
 
Nafikiri nimekufafanulia vizuri sana lakin nashangaa mwenyewe unaongeza mambo.

Labda nijuze Kwani Zanzibar wanafata sheria za Kiislamu?

Weye ndie uliyeta mambo ya watu watatu? Au umesha sahau? Sasa tukitumia njia yako ya watu watatu, kiislamu inamaanisha wanaume watatu. Je, kama mashaidi ni wanamwali, si wanatakiwa wawe SITA?

Zenji ni kwa Waislam.
 
Nafikiri nimekufafanulia vizuri sana lakin nashangaa mwenyewe unaongeza mambo.

Labda nijuze Kwani Zanzibar wanafata sheria za Kiislamu?

Weye ndie uliyeta mambo ya watu watatu? Au umesha sahau? Sasa tukitumia njia yako ya watu watatu, kiislamu inamaanisha wanaume watatu. Je, kama mashaidi ni wanamwali, si wanatakiwa wawe SITA?

Zenji ni kwa Waislam.

Hata ikiwa kwa Waislamu . Suala je wanafuata sheria za kiislamu? naomba jibu hapo.
 
Swali:

Takriban 99% ya Wazanzibari ni Waislam, if I am correct, correct me if I am wrong. Ingawa ni asilimia kubwa namna hiyo, Zenji inaongoza kwa mashoga, kwanini? Je, ushoga unafumbiwa macho na islam?
 
Mwanasheria mkuu wa Z'bar amesema watu wanaojihusisha na mapenzi ya jinsia moja visiwani hapa hawawezi kutiwa hatiani bila ya kuwapo kwa ushahidi dhidi yao................................ Chanzo: nipashe.

Soma hapa chini...
  • Reuters in Zanzibar
  • The Guardian, Saturday 21 August 2004 01.18 BST
A law banning gay sex has come into effect in Zanzibar, with homosexual men threatened with 25-year jail terms and lesbians facing seven-year sentences."This is what we have been aspiring for. If the government takes such steps, the country will really move ahead," said Sheikh Muhammed Said, a local Islamic leader.

The law was brought into effect by President Amani Karume's signature last week, the attorney general's office said. Parliament passed the bill in April.
The islands, a semi-autonomous part of Tanzania, are largely Muslim.

Travel agencies that specialise in trips for gays and lesbians have threatened to boycott Zanzibar.

Local supporters of gay rights have condemned the law, passed after bomb and grenade attacks on a restaurant and the homes of political and religious leaders, which police initially blamed on Muslim militants.
 
Unapochangia mada jaribu kuwa na uhakika na unachokisema, je unaweza kutuambia ni sheria gani ya kiislamu inayotumika zanzibar zaidi ya zile za mirathi, talaka nk ambazo hata bara zinatumika pia?

Do you know the meaning of islam?
 
Mi naona mnabishana bure na mtu asiyejua sheria ime anataka tu kufurahisha barza na kutaka kuwa na post nyingi lakini kumbe ni pumba tu.

Kijumla Tanzania na Zanzibar zote zinafuata Utawala wa Sheria (Rules of Law) . Kwa maana hiyo zinatoa haki kwa pande zote yaani mlalamikaji na mlalamikiwa kuweza kutoa uthibitisho wao kuhusu jambo husika.

Kwa hiyo mahakama zenu zinahitaji ushahidi madhubuti wa kuthibitisha tukio pasi na shaka ndipo mtu atiwe hatiani.
 
Huko ndiko ulikokuwa unaelekea kumbe, inakuuma ukisikia population ya Wazanzibari ni waislamu, bado itazidi kukuuma.
Hata hivyo, wakati takwimu za tacaids zinaonyesha hivyo kwa Zanzibar, kwa upande wa wenzetu Tanganyika sababu kubwa za maambukizi hayo ni uasherati, umalaya, ulevi, mila mbovu za kurithi wajane,wanaume kutotahiriwa, ngono za makundi, liwati, angalia hapa:Tanzania HIV/AIDS and Malaria Indicator Survey 2007-08

Sijuwi kama ndiyo wenzetu manavyofundishwa makanisani.
Sijuwi tacaids wametumia vigezo vipi kufikia takwimu hizo ambazo hazimo katka taarifa zao rasmi, ukiachilia hizo za vyombo vya habari, ila ninachojuwa kwa wenzetu Wakiristo, baadhi ya madhehebu yao, ushoga ni jambo la kawaida, wapo mapadre mashoga, ndoa za mashoga na wasagaji zinafungishwa makanisani.

Nadhani tacaids hawakuwa fair kuhusu wapi matendo ya kishoga yamejikita zaidi, inajuulikana kuwa Tanganyika hivi sasa inayadesturisha matendo hayo ndani ya mila na tamaduni zao za sanaa na jamii, ni hivi karibuni tu wasanii wa filamu wa "bongo" wametengeneza filamu ya kishoga na tayari filamu hiyo inafurahiwa kila pahala Tanganyika, nadhani tacaids hawakuliona hili.

Kaazi kweri kweri
 
Status
Not open for further replies.
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom