Zanzibar inanichanganya-nipeni jibu | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Zanzibar inanichanganya-nipeni jibu

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by engmtolera, Apr 5, 2011.

 1. engmtolera

  engmtolera Verified User

  #1
  Apr 5, 2011
  Joined: Oct 21, 2010
  Messages: 5,081
  Likes Received: 58
  Trophy Points: 145
  Wana JF hivi Zanzibar ni nchi au mkoa?

  Inasemekana kuwa Katiba ya zanzibar inasema zanzibar ni nchi na mipaka yake,

  katiba ya Tanzania inasema Zanzibar ni sehemu ya Jamhuri ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar.

  Sasa ktk mswada wa katiba , kamati ya katiba itaundwa kwa uwiano sawa kati ya bara na zanzibar

  Swali ni kwanini tuwe na equal representation katika kamati?

  Tukiangalia Tanzania bara ni kubwa kulinganisha na Zanzibar na hivyo sio vema tukawa sawa au tunaunda kamati ya nchi mbili?
  Haya Great thinkers tuonyeshe umahili wetu hapa,tuache blabla za kuharibu Thread kwa kuingiza mambo ya DINI

  NIPENI JIBU,ILI TUELIMISHANE
   
 2. K

  Kivia JF-Expert Member

  #2
  Apr 5, 2011
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 278
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  Nijuavyo muungano ulishirikisha nchi mbili-TANganyika na ZNZ. Na kila nchi iliingia ktk muungano kwa usawa bila kujali ukubwa wake. Hivyo hata hili naona ni sawa kwani litagusa muungano. Pia ktk marekebisho ya katiba ya ZNZ sasa zanziba ni NCHI.
   
Loading...