Zanzibar imechafuka kwa maandamano ya kufurahia ushindi, sikuamini kama ni wengi kiasi hiki

Uliowaona wote ni wakutoka Tanganyika, wazanzibar wanajitambua toka kitambo, Ndiyo nchi ya kwanza kutoka kusini mwa jangwa la sahara kuwa na TV ya rangi.
 
Kama hao unaona ni wengi wakifurahi tambua ya kwamba kuna wengi pia wamechukia
 
Fafanua vizuri kama wameanza fyoko fyoko wakanyooshwe, wanajeshi wetu tangu wametoka Anjouani Comoro hawajanyoosha wakorofi.
 
Mhhhh mkuu.ina.maana waliona kabla ya south hizo story za vijiwe vya gahwa zinawagharimu
 
Uliowaona wote ni wakutoka Tanganyika, wazanzibar wanajitambua toka kitambo, Ndiyo nchi ya kwanza kutoka kusini mwa jangwa la sahara kuwa na TV ya rangi.
wacha uwongo huo...yaani hata aibu huoni .CUF ni cha wapemba na almost 80% ya watu wa unguja ni CCM
 
Huwa napatwa na hasira sana na siasa uchwara za namna hii,basi tu. Lakini naamini kabisa ipo siku tu wazanzibar wataamka na hakika wataamshwa na wanaharakati waaminifu ambao leo wanawaona kama wapiga kelele zisizo na maana.

Mara nyingi kenge kujua kama ameumia ni mpaka damu imtoke masikioni, ajiandae kwa makini sana Shein na wenzake.
 
wacha uwongo huo...yaani hata aibu huoni .CUF ni cha wapemba na almost 80% ya watu wa unguja ni CCM
Takwimu zako zitakaribia ukweli kama wapiga wa znz ni hao tu waliopiga safari hii ambao namba iliyotangazwa na Jecha yabidi igawanywe kwa mbili
 
Huwa napatwa na hasira sana na siasa uchwara za namna hii,basi tu. Lakini naamini kabisa ipo siku tu wazanzibar wataamka na hakika wataamshwa na wanaharakati waaminifu ambao leo wanawaona kama wapiga kelele zisizo na maana. Mara nyingi kenge kujua kama ameumia ni mpaka damu imtoke masikioni, ajiandae kwa makini sana Shein na wenzake.


Dua la kuku,hamfanyi chochote.Mara ya ngapi mnagalagazwa
 
wacha uwongo huo...yaani hata aibu huoni .CUF ni cha wapemba na almost 80% ya watu wa unguja ni CCM
Huu ukweli watu wengi wa Tanganyika hawaujui. Zanzibar kuna mgawanyiko mkubwa sana kati ya Unguja na Pemba. Unguja kuna majimbo ya uwakilishi 36, kati ya hayo 9 walichukuwa CUF kabla ya uchaguzi kufutwa. Hivyo hapa Unguja CCM ni wengi sana Kuliko CUF. Kule Pemba ni hivyo hivyo CUF ni wengi ila sio kwamba hakuna CCM, wapo ila wachache ndo maana utaona CUF anapata kura 5000+ CCM anapata 1000-. Ndo maana toka jana kisiwa cha unguja ni mafuriko ya kijani na njano kuwazodoa CUF pemba.
 
Back
Top Bottom