Zanzibar ikijitenga na Tz bara itakuwa kiuchumi haraka sana kuipita Dubai/Singapore

Tofauti ya "maendeleo" kati ya zanzinar na tanganyika mi kuwa tanganyuka wana majumba marefu tu.
Mengine drooo.
Hapo znz ni wauza karafuu na mwani wakati bara wana gold.urenium.tanzanite.gas.maziwa makubwa.ardhi kubwa ya kilimo.vitalu vya mafuuta.chuma.mkaa wa mawe.nk
Lakini kama alisema prof. Longo longo nyingi na znz hawana kitu lakini hatuwashindi ila kwa majenggo marefu.
Sasa wewe fikiria ikiwa iko pekee na wao wapate gas tu kama ya songo songo watakua wapi?
Leo licence tu za kutafuta mafuta ni mamilioni ya dola na tanganyika angalieni mashimo kama mji umepigwa mabomu.
Nenda znz uone vijiji vyote vimeunganishwa na lami hamna shimo wala bumps njiani
 
Back
Top Bottom