Zanzibar: Hotel tano za Jambiani, zateketea kwa moto

Nimejirusha hapo Jambiani 2015 awamu ya Mzee Kikwete nilikaa wiki moja nakula Bata hapo galafu jioni nikawa natembelea Kijijini kupiga Soga na Wenyeji ilikuwa Burudani juu ya Burudani.

Very Sad kusikia janga la Mioto.
 
inaonekanwa mkuu hicho kipindi ulikua unatengeneza pesa vizuri tu
 
Back
Top Bottom