Zanzibar heroes yawa timu ya kwanza kutinga nusu fainali ya CECAFA baada kutoka suluhu na Kenya

Kama sio fitna za muungano wazanzibari wangekuwa kwengine kwa kila kitu na ndio maana kila upande unapowakuta wako vyema na tatizo lao linakuwa ni siasa za tz na viongozi wao sio issues za kiufundi na uwezo, kuna siku nafkir tz itafika kuona haya kwa inayoifanyia hawa jamaa
Kila jambo lina mwisho wake.. Ukoloni Mambo Leo utakoma, we si unaona kwa sasa Magari, TV, na vifaa vingine bei ikoje?
 
Chukulia mfano tu misaada kutoka nje kama wanapewa znz, na kama wanapewa basi ni fungu dogo sana ukilinganisha na bara. Mimi kama m-bara lakini..Inshort wazanzibar hawatendewi haki for anything...ndio mana hili linchi linapata mitihani/misukosuko mingi sana
Umenena vizuri.. Tena kwa sauti mkuu
 
Back
Top Bottom