Zanzibar Heroes Ikituwakilisha Vyema Kwenye VIVA 2012 Kurdistan | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Zanzibar Heroes Ikituwakilisha Vyema Kwenye VIVA 2012 Kurdistan

Discussion in 'Jamii Photos' started by Kakke, Jun 7, 2012.

 1. Kakke

  Kakke JF-Expert Member

  #1
  Jun 7, 2012
  Joined: Dec 4, 2010
  Messages: 1,797
  Likes Received: 389
  Trophy Points: 180
  [h=3][/h]

  [​IMG]

  [​IMG]

  [​IMG]

  [​IMG]

  [​IMG]

  [​IMG]


  [​IMG]Za​  Imewekwa na MAPARA at 12:42 AM
   
 2. Hute

  Hute JF-Expert Member

  #2
  Jun 7, 2012
  Joined: Nov 25, 2010
  Messages: 6,059
  Likes Received: 3,927
  Trophy Points: 280
  zanzibar ina mwakilisha nani? si hawatutaki, sisi tulienda ivory coast, wao hawana hata shida na sisi wameenda zao huko kuhangaika....
   
 3. Hute

  Hute JF-Expert Member

  #3
  Jun 7, 2012
  Joined: Nov 25, 2010
  Messages: 6,059
  Likes Received: 3,927
  Trophy Points: 280
  hao si wenzetu, hata ramani si ya kwetu...sis tumeabandon ramani ya tanganyika, wao wanaleta raman na katiba ya kivyaovyao kujitenga, wa nini sasa hawa, hata aibu hawana.
   
 4. L

  Lubaluka JF-Expert Member

  #4
  Jun 8, 2012
  Joined: May 18, 2009
  Messages: 496
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Hapo ni mchezo wa mpira wa miguu kati ya Nchi mbili

  Zanzibar - Rais , Wimbo wa Taifa, Bendera, Mipaka halali ya ZNZ. Yaanii Sijui Tanganyika imefilia wapi.. agriiiiiii...

  Huu Muungano sijui ni wa aina gani kwa kweli?/????
   
Loading...