Zanzibar hali bado ngumu....! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Zanzibar hali bado ngumu....!

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by Kisoda2, Oct 31, 2010.

 1. Kisoda2

  Kisoda2 JF-Expert Member

  #1
  Oct 31, 2010
  Joined: May 30, 2008
  Messages: 1,242
  Likes Received: 137
  Trophy Points: 160
  inatangaza muda huu kwamba fomu za kutoka kajimboni hazijafika ZEC kutokana na mawakala wa vyama kugoma kusign.chama gani kimegoma haijasemwa.ila katika kituo cha bwawani waligomea kusign.
   
 2. M

  Mdondoaji JF-Expert Member

  #2
  Oct 31, 2010
  Joined: Mar 17, 2009
  Messages: 5,106
  Likes Received: 45
  Trophy Points: 145
  Wa CCM ndio waliogoma wamepatwa na butwaa na matokeo
   
 3. Kisoda2

  Kisoda2 JF-Expert Member

  #3
  Oct 31, 2010
  Joined: May 30, 2008
  Messages: 1,242
  Likes Received: 137
  Trophy Points: 160
  wakala wa ccm bwawani mjini unguja znz wamegoma kusign
   
 4. Anyisile Obheli

  Anyisile Obheli JF-Expert Member

  #4
  Oct 31, 2010
  Joined: Dec 13, 2009
  Messages: 3,304
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 135
  kaazi kweli kweli wampe tu maalim nchi ila nae asijeleta mfumo wakutumika kama rimoti ya waarabu hapa
   
 5. Anyisile Obheli

  Anyisile Obheli JF-Expert Member

  #5
  Oct 31, 2010
  Joined: Dec 13, 2009
  Messages: 3,304
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 135
  ccm hawatakiwi kwa nini wanalazimisha mambo? waaache cuf watawale visiwa vya jamhuri ya watu wa Zanzibar eboooooooo
   
Loading...