Zanzibar hakukaliki; siri nzito yafichuka fedha zatoka Oman na Uingereza

550664_239147279533582_506864594_n.jpg

.....Naanza kuamini usia wa baba wa Taifa aliposema NJE YA MUUNGANO HAKUTOKUA NA WA-NZANZIBAR,bali SISI WAUNGUJA NA WAO WA-PEMBA,na kwa kweli hali hii imeanza kujitokeza,hata kabla ya huo Muungano haujavunjika(HAUTAVUNJIKA)Thanks for Nice Picture, huo ndio ukweli ulivyo.
 
Kuna maswali ni lazima tujiulize kama ifuatavyo

3.Kumekuwa na hii propaganda kuwa Muungano wetu ni kwa ajiri ya usalama zaidi ,hivi naomba niulize tena kabla ya 1964 mbona usalama wa tanganyika ulikuwa sawa?

Kwani Zanzibar kuwa kisiwa ndo usalama wa Taifa unakuwa hatarini? Mbona tume tenganishwa na mataifa mengine kama Kenya, Uganda, Zambia, Malawi, Rwanda, Burundi, Congo na Msumbiji kwa mstari wa kufikirika na hakuna hatari yoyote?

Kama kuna njia ya chini kwa chini toka magogoni mpaka Zenji-tuifukie! Hakuna hatari yoyote bali ni woga wa viongozi kukwepa lawama kuwa "Muungano umemvunjikia"
 
.....naanza kuamini usia wa baba wa taifa aliposema nje ya muungano hakutokua na wa-nzanzibar,bali sisi waunguja na wao wa-pemba,na kwa kweli hali hii imeanza kujitokeza,hata kabla ya huo muungano haujavunjika(hautavunjika)thanks for nice picture, huo ndio ukweli ulivyo.

hizi ndio propaganda za kanisa kwani limeishiwa hoja limebakia kutia fitina NA KUTAKA KUWAGAWA WATU LAKINI HIZI MBINU ZIMEPITWA NA WAKATI , WATU WAMEAMKA , AHSANTE UAMSHO
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom