Zanzibar: Dr. Shein yuko tayari kwa lolote; Maalim Seif anataka moja tu

VUTA-NKUVUTE

JF-Expert Member
Nov 25, 2010
6,136
17,871
Alipokuwa akizungumzia kufutwa kwa uchaguzi mzima wa Zanzibar, aliyekuwa mgombea wa CUF, Maalim Seif Sharrif Hamad alisema safari hii 'No compromise'. Ingawa ni sentensi fupi, ina ujumbe mzito. Ujumbe wa Maalim Seif ni kuwa safari hii hatakubali kuombwa na hatimaye kukubali matokeo kama ilivyokuwa miaka ya 2005 na 2010. Kauli ya kuwepo kwa 'compromise' inathibitisha kauli ya Mzee Moyo aliyosema kuwa ilifika wakati aliombwa akamshawishi Maalim Seif akubali matokeo.

Maalim Seif ametuma ujumbe mmoja mkubwa. Ujumbe wa kutotakiwa tena mashauriano ya kumfanya abadili msimamo wake wa kutangazwa mshindoi wa uchaguzi wa mwaka huu ambao umefutwa na Mwenyrkiti wa ZEC, Ndugu Jecha. Maalim Seif, pamoja na kufanya mazungumzo ya hapa na pale; ya huyu na yule, anataka jambo moja tu: mshindi atangazwe na mambo mengine yaendelee.

Wakati Maalim Seif akisema na kubaki na msimamo huo, Dr. Ali Mohamed Shein, Rais wa Zanzibar na aliyekuwa mgombea wa CCM, yuko tayari kwa jambo lolote. Yuko tayari kutangazwa kwa mshindi; yuko tayari kurudiwa kwa uchaguzi na kadhalika. Msimamo huo unachagizwa na heshima ya Dr. Shein katika kufuata na kutii makubaliano ya Muafaka uliopelekea kuundwa Serikali ya Umoja wa Kitaifa.

Pia, 'upemba' wa Dr. Shein na Maalim Seif unakoleza msimamo wa lolote-lije wa Dr. Shein. Dr. Shein anamuona Maalim kama ndugu na Mwalimu wake wa kisiasa na hata kaka wa kisiasa. Lakini, external forces from party members and party leaders make things harder for Dr. Shein. He is afraid of being named a party traitor!

Mzee Tupatupa wa Lumumba, Dar es Salaam
 
Last edited:
Alipokuwa akizungumzia kufutwa kwa uchaguzi mzima wa Zanzibar, aliyekuwa mgombea wa CUF, Maalim Seif Sharrif Hamad alisema safari hii 'No compromise'. Ingawa ni sentensi fupi, ina ujumbe mzito. Ujumbe wa Maalim Seif ni kuwa safari hii hatakubali kuombwa na hatimaye matokeo kama ilivyokuwa miaka ya 2005 na 2010. Kauli ya kuwepo kwa 'compromise' inathibitisha kauli ya Mzee Moyo aliyosema kuwa ilifika wakati aliombwa akamshawishi Maalim Seif akubali matokeo.

Maalim Seif ametuma ujumbe mmoja mkubwa. Ujumbe wa kutotakiwa tena mashauriano ya kumfanya abadili msimamo wake wa kutangazwa mshindoi wa uchaguzi wa mwaka huu ambao umefutwa na Mwenyrkiti wa ZEC, Ndugu Jecha. Maalim Seif, pamoja na kufanya mazungumzo ya hapa na pale; ya huyu na yule, anataka jambo moja tu: mshindi atangazwe na mambo mengine yaendelee.

Wakati Maalim Seif akisema na kubaki na msimamo huo, Dr. Ali Mohamed Shein, Rais wa Zanzibar na aliyekuwa mgombea wa CCM, yuko tayari kwa jambo lolote. Yuko tayari kutangazwa kwa mshindi; yuko tayari kurudiwa kwa uchaguzi na kadhalika. Msimamo huo unachagizwa na heshima ya Dr. Shei katika kufuata na kutii makubaliano ya Muafaka uliopelekea kuundwa Serikali ya Umoja wa Kitaifa.

Pia, 'upemba' wa Dr. Shein na Maalim Seif unakoleza msimamo wa lolote-lije wa Dr. Shein. Dr. Shein anamuona Maalim kama ndugu na Mwalimu wake wa kisiasa na hata kaka wa kisiasa. Lakini, external forces from party members and party leaders make things harder for Dr. Shein. He is afraid of being named a party traitor!

Mzee Tupatupa wa Lumumba, Dar es Salaam

Mzee Tupatupa, hivi hawa jamaa zako wa kijani wanafikiri walizaliwa ili kutawala wengine...inaonekana wamechoka amani/utulivu kabisa isee
 
Madaraka matamu ndugu. Usijaribu kuonja kama bado

Mzee Tupatupa
 
That's very nasty, Na ninavyojua Magufuli hauwezi mziki wa Zanzibar sijui itakuwaje baadae, anyways ngoja tusubili what's next.
 
Alipokuwa akizungumzia kufutwa kwa uchaguzi mzima wa Zanzibar, aliyekuwa mgombea wa CUF, Maalim Seif Sharrif Hamad alisema safari hii 'No compromise'. Ingawa ni sentensi fupi, ina ujumbe mzito. Ujumbe wa Maalim Seif ni kuwa safari hii hatakubali kuombwa na hatimaye kukubali matokeo kama ilivyokuwa miaka ya 2005 na 2010. Kauli ya kuwepo kwa 'compromise' inathibitisha kauli ya Mzee Moyo aliyosema kuwa ilifika wakati aliombwa akamshawishi Maalim Seif akubali matokeo.

Maalim Seif ametuma ujumbe mmoja mkubwa. Ujumbe wa kutotakiwa tena mashauriano ya kumfanya abadili msimamo wake wa kutangazwa mshindoi wa uchaguzi wa mwaka huu ambao umefutwa na Mwenyrkiti wa ZEC, Ndugu Jecha. Maalim Seif, pamoja na kufanya mazungumzo ya hapa na pale; ya huyu na yule, anataka jambo moja tu: mshindi atangazwe na mambo mengine yaendelee.

Wakati Maalim Seif akisema na kubaki na msimamo huo, Dr. Ali Mohamed Shein, Rais wa Zanzibar na aliyekuwa mgombea wa CCM, yuko tayari kwa jambo lolote. Yuko tayari kutangazwa kwa mshindi; yuko tayari kurudiwa kwa uchaguzi na kadhalika. Msimamo huo unachagizwa na heshima ya Dr. Shein katika kufuata na kutii makubaliano ya Muafaka uliopelekea kuundwa Serikali ya Umoja wa Kitaifa.

Pia, 'upemba' wa Dr. Shein na Maalim Seif unakoleza msimamo wa lolote-lije wa Dr. Shein. Dr. Shein anamuona Maalim kama ndugu na Mwalimu wake wa kisiasa na hata kaka wa kisiasa. Lakini, external forces from party members and party leaders make things harder for Dr. Shein. He is afraid of being named a party traitor!

Mzee Tupatupa wa Lumumba, Dar es Salaam
seif atangazwe mshindi kwa matokeo yapi ya uchaguzi. kumbuka zec ndio chombo pekee kutangaza matokeo na walitangaza kufuta uchaguzi kwa kasoro wslizozitaja. sasa seif anataka atangazwe kwa matokeo aliyotangaza yeye tangu lini yeye ni zec. na kama ana imani alikua mshindi anaogopa nini marudio. haiwezekani mtu kupewa ushindi kwa kua kajitangaza mshindi. kama hiyo ndio demokrasia ya cuf haingii skili ccm kukubali. suluhu sahohi ni uchaguzi kurudiwa chini ya usimamizi unaokubaliwa na wote.

Kufutwa kwa uchaguzi wa Urais upande wa Zanzibar kuimeifanya Zanzibar nje ya mipaka ya Tanzania iwe maarufu kisiasa kuliko hata Tanzania?

Kila kukicha kuna habari mpya kuhusu Zanzibar, utasikia: Maalim Seif atua Ikulu Dar, Shein ateta na rais wa JMT ikulu Dar, Uchaguzi kurudiwa mara uchaguzi

kutorudiwa.

Hivi litafuata tamko la Seif baada ya hili la CCM-Zanzibar kuwataka wanachama wake kujiandaa kwa marudio ya uchaguzi. Sarakasi za siaza za Zanzibar

zinaendelea...
 
Nafikiria uchaguzi mpya ni kiini macho wayaseme waliyokusanya na hata kama wameshayachakachua kuliko gharama kubwa za uchaguzi mpya
 
seif atangazwe mshindi kwa matokeo yapi ya uchaguzi. kumbuka zec ndio chombo pekee kutangaza matokeo na walitangaza kufuta uchaguzi kwa kasoro wslizozitaja. sasa seif anataka atangazwe kwa matokeo aliyotangaza yeye tangu lini yeye ni zec. na kama ana imani alikua mshindi anaogopa nini marudio. haiwezekani mtu kupewa ushindi kwa kua kajitangaza mshindi. kama hiyo ndio demokrasia ya cuf haingii skili ccm kukubali. suluhu sahohi ni uchaguzi kurudiwa chini ya usimamizi unaokubaliwa na wote.
Hata ZEC hawakuwa na power ya kuvunja uchaguzi...lkn ndio kila kitu kinafanywa kimabavu...'sheria ziliwekwa ili zivunjwe'??!
#mshindiatangazwe
 
Kuna Mama mmoja wa CCM Zanzibar,Jana alinukuliwa akisema wapo tayari kwa marudio ya uchaguzi na wamejiandaa kushinda kwa kishindo sijui alikuwa amekunywa uji wa wapi yule ni kama hajitambui.
 
Kuna jamaa kaota ndoto ya kushangaza usiku wa kuamkia leo. Ni ndoto...!(msisitizo), pia kumbuka wataalamu wa usingizi wanasema, ukianza kuota ujue usingizi umeisha....niache blah blah...ndoto ya jamaa iko hivi
......Katika hali ya kushangaza, lakini katika hatua ya kufikia muafaka wa masuala ya uchaguzi na utangamano huko Zanzibar, Mh. Maalim Seif amebadili uanachama wake wa CUF na kujiunga CCM na kisha kukabidhiwa madaraka ya kuiongoza serikali ya Zanzibar. Habari hizi zimepokewa kwa mshangao mwanzoni lakini baadaye Zanzibar yote ilizizima kwa ndelemo na vifijo kushangilia tukio hilo.....(mwisho wa ndoto ya jamaa)
 
Kama JPM kaamua kujiweka pembeni na chama chake kimeanza kutoa matamshi hata ya Jana basi tukubaliane kuwaCUF nao wakitoa matamshi yao na kikiwaka huko Zenji askari wetu wote wenye asili ya bara tuwarudishe nyumbani ili Zanzibar imalize mambo yao wenyewe hayo ya muungano tutayajadili baadae wakishamalizana na kuelewana.
Hatupaswi bara kuwa na upande wakati ndugu Tulioungana nao wanapogombana.
Ndugu wakigombana chukua jembe ukalime
 
Alipokuwa akizungumzia kufutwa kwa uchaguzi mzima wa Zanzibar, aliyekuwa mgombea wa CUF, Maalim Seif Sharrif Hamad alisema safari hii 'No compromise'. Ingawa ni sentensi fupi, ina ujumbe mzito. Ujumbe wa Maalim Seif ni kuwa safari hii hatakubali kuombwa na hatimaye kukubali matokeo kama ilivyokuwa miaka ya 2005 na 2010. Kauli ya kuwepo kwa 'compromise' inathibitisha kauli ya Mzee Moyo aliyosema kuwa ilifika wakati aliombwa akamshawishi Maalim Seif akubali matokeo.

Maalim Seif ametuma ujumbe mmoja mkubwa. Ujumbe wa kutotakiwa tena mashauriano ya kumfanya abadili msimamo wake wa kutangazwa mshindoi wa uchaguzi wa mwaka huu ambao umefutwa na Mwenyrkiti wa ZEC, Ndugu Jecha. Maalim Seif, pamoja na kufanya mazungumzo ya hapa na pale; ya huyu na yule, anataka jambo moja tu: mshindi atangazwe na mambo mengine yaendelee.

Wakati Maalim Seif akisema na kubaki na msimamo huo, Dr. Ali Mohamed Shein, Rais wa Zanzibar na aliyekuwa mgombea wa CCM, yuko tayari kwa jambo lolote. Yuko tayari kutangazwa kwa mshindi; yuko tayari kurudiwa kwa uchaguzi na kadhalika. Msimamo huo unachagizwa na heshima ya Dr. Shein katika kufuata na kutii makubaliano ya Muafaka uliopelekea kuundwa Serikali ya Umoja wa Kitaifa.

Pia, 'upemba' wa Dr. Shein na Maalim Seif unakoleza msimamo wa lolote-lije wa Dr. Shein. Dr. Shein anamuona Maalim kama ndugu na Mwalimu wake wa kisiasa na hata kaka wa kisiasa. Lakini, external forces from party members and party leaders make things harder for Dr. Shein. He is afraid of being named a party traitor!

Mzee Tupatupa wa Lumumba, Dar es Salaam
Short and clear. Asante Shein. Kubali yaishe.
 
seif atangazwe mshindi kwa matokeo yapi ya uchaguzi. kumbuka zec ndio chombo pekee kutangaza matokeo na walitangaza kufuta uchaguzi kwa kasoro wslizozitaja. sasa seif anataka atangazwe kwa matokeo aliyotangaza yeye tangu lini yeye ni zec. na kama ana imani alikua mshindi anaogopa nini marudio. haiwezekani mtu kupewa ushindi kwa kua kajitangaza mshindi. kama hiyo ndio demokrasia ya cuf haingii skili ccm kukubali. suluhu sahohi ni uchaguzi kurudiwa chini ya usimamizi unaokubaliwa na wote.
Na nyie ccm kama si waroho wa madaraka kwann mnakomalia madaraka kama iliandikwa mungu kua nyie ndo muongoze
 
seif atangazwe mshindi kwa matokeo yapi ya uchaguzi. kumbuka zec ndio chombo pekee kutangaza matokeo na walitangaza kufuta uchaguzi kwa kasoro wslizozitaja. sasa seif anataka atangazwe kwa matokeo aliyotangaza yeye tangu lini yeye ni zec. na kama ana imani alikua mshindi anaogopa nini marudio. haiwezekani mtu kupewa ushindi kwa kua kajitangaza mshindi. kama hiyo ndio demokrasia ya cuf haingii skili ccm kukubali. suluhu sahohi ni uchaguzi kurudiwa chini ya usimamizi unaokubaliwa na wote.
Tuweke kumbukumbu sawa ni ZEC kama Taasisi au ni Jecha kama Mtu. ZEC kama Taasisi inatajwa haikuwahi kukaa na kubariki KUFUTWA MATOKEO. So usiitupie Lawama ZEC bali mtupie lawama Mwenyekiti wa ZEC kwa kufanya Maamuzi yale. Maamuz yaweza kuwa Sahihi au siyo Sahihi kwa Mustakabali wa Zanzibar na Tanganyika na Tanzania kwa ujumla. Tuweke kumbukumbu sawa kwanza kabla mada haijapotoshwa!
 
seif atangazwe mshindi kwa matokeo yapi ya uchaguzi. kumbuka zec ndio chombo pekee kutangaza matokeo na walitangaza kufuta uchaguzi kwa kasoro wslizozitaja. sasa seif anataka atangazwe kwa matokeo aliyotangaza yeye tangu lini yeye ni zec. na kama ana imani alikua mshindi anaogopa nini marudio. haiwezekani mtu kupewa ushindi kwa kua kajitangaza mshindi. kama hiyo ndio demokrasia ya cuf haingii skili ccm kukubali. suluhu sahohi ni uchaguzi kurudiwa chini ya usimamizi unaokubaliwa na wote.

ZEC haikufuta uchaguzi!! Aliyefuta ni Jecha.

Jecha alifuta uchaguzi wa ZNZ bila kusema alitumia kipengere gani cha katiba. Jecha bado ana muda wa kurudi na kurekebisha hilo kosa!!!
 
Back
Top Bottom