if you cannot run walk, if you cannot walk crawl.whatever the case keep on moving towards your goal-martin luther kingkweli kabisa,nimeona wanachama wakiwa wamevaa sare za vyama vyao wakisherehekea pamoja bila kujali tofauti zao za vyama.
Kwa hakika demokrasia imeanza kukua zanzibar.