Elections 2010 ZANZIBAR - CCM & CUF washerehekea ushidi

Mgombezi

JF-Expert Member
Mar 23, 2009
610
178
Katika halimisiyo ya kawaida CCM & CUF wameonekana mitaani wakishangilia ushidi kwa pamoja, hii inaokekana ni katika kuthibitisha maneno ya Maalim Seif kwamba ushindi ni wa wazanzibari wote.
 
Kweli kabisa,nimeona wanachama wakiwa wamevaa sare za vyama vyao wakisherehekea pamoja bila kujali tofauti zao za vyama.
Kwa hakika demokrasia imeanza kukua Zanzibar.
 
Cuf wajanja wanafurahia serikali ya umoja wa kitaifa ambayo itaunda tume huru ambayo itakuwa fair next election na kama ikiwa fair basi cuf watachukua nchi kiulaini. Pia tatizo lingine zenj ni kukandamizwa kwa wapemba hivyo ushindi wa shein ni ushindi wa wapemba sio ccm
 
kweli kabisa,nimeona wanachama wakiwa wamevaa sare za vyama vyao wakisherehekea pamoja bila kujali tofauti zao za vyama.
Kwa hakika demokrasia imeanza kukua zanzibar.
if you cannot run walk, if you cannot walk crawl.whatever the case keep on moving towards your goal-martin luther king
 
Wazanjibar wajanja.kiduchu kiduchu wanajizatiti kama taifa na hawako tayari kushiriki ufisadi na umasjkini wa kulazimishana
 
watu bwana, kila ki2 kwao kibaya tu. Sasa mlitaka wazanzibar wapigane? Kushangilia ushindi CUF ni sawa maana ule udikteta wa CCM Visiwani utaisha, pia kutaundwa tume huru ya uchaguz ki2 kitakachoiondoa kabsa CCM madarakani 2015. Kukubali matokeo kwa CUF kwangu ni ushindi mkubwa kuliko ushind wa CCM. Ni maoni tu
 
Tuwe na mtazamo chanya, uhuni unaofanywa na NEC,polisi na vyombo vingine wakati wa uchaguzi unawezekana kwa vile sisiem ndio mabosi wao,hivyo hatua ya maalim ni ataweza kupambana na wale vibaraka wa sisiem na kuweka watu makini kwa maslahi ya taifa,wanaoweza kuwasikiliza wananchi na kujali maslahi yao hasa pale yanapokuja maswala muhimu kama haya ya kuwachagua viongozi.Bara nasi tunatakiwa tufanye hivi kupigana nao hawa jamaa ukiwa nje ni kazi kweli kweli,embu angalia polisi wamejaa kila mahali wananchi wanapojaribu kudai haki ya kura zao na wanawapa kibano cha kweli kweli lakini inapokuja swala la usalama wakati ambao si wa uchaguzi utaambiwa kuna upungufu wa polisi,je!kuna aina mbili ya hao polisi(yaani kikosi cha polisi-kitengo cha kuwachakachua raia wadai hai na polisi doria ya kawaida),au wanawakodi mahali.
 
Back
Top Bottom