Zanzibar: Bomu larushwa na kulipua nyumba ya Kamishna wa Polisi

Troll JF

JF-Expert Member
Feb 6, 2015
7,804
12,233
Watu wasiojulikana wamerusha bomu katika nyumba ya kamishina wa Polisi Hamdani Omar Makame katika eneo la Kijichi huko zanzibar

More to follow :

UPDATES:
Nyumba kadhaa ikiwemo ya Kamishna Polisi Zanzibar H. Makame zaharibiwa baada ya kutokea mlipuko, Polisi yasema leo. Watu 31 mbaroni (Chanzo: ITV)
 
Watu wasiojulikana wamerusha bomu na kulipua nyumba ya kamishina wa Polisi Hamdani Omar Makame katika eneo la Kijichi huko zanzibar

More to follow :

Pia wenye habari mtujuze nimeipata hivi hivi ITV
 
na hapo mbona picha ndo linaanza, si wanaskia raha kupola haki za watu. warushe mabomu mengne tena leo hayo hayatosh kabsa
 
Watu wasio julikana wamerusha bomu na kulipua nyumba ya Kamishna wa Polisi Zanzibar, Hamdani Omar Makame eneo la Kijichi.

Nyumba kadhaa pia zimeathiriwa.

Watu 31 wametiwa mbaroni kufuatia tukio hilo.

Taarifa zaidi zinafuata
FB_IMG_1458040422812.jpg
 
Back
Top Bottom