Zanzibar: Askari wanne wa SMZ na maofisa 3 wa Idara ya Misitu mbaroni kwa mauaji ya Katibu wa ACT-Wazalendo tawi la Mwembemakumbu

Kwa nini unataja nafasi yake ya kisiasa ktk taarifa ya maafa kama haya! Je, mauaji yake ni ya kisiasa? Kama ni ya kisiasa, maafisa misitu wanahusikaje? Kama siyo ya kisiasa, inatosha kuandika jina lake tu maana naamini alikuwa anayo kazi nyingine ya kuendesha maisha yake.
Usikute watu wengi wa namma hiyó wataendelea kuuliza kutokana na itikadi zao ma serikali utakuwa inaigiza kuwakamata hivyohivyo huku ikiwahamisha miji wauaji.
 
Back
Top Bottom