Kuandamana ni haki ya kila raia kikatibaNdio maana Sheria ukisema usiandamane, ukaenda, kinacho kupata ni halali yako
Toka lini yakawa makweli_yanapenda damu za wapinzani sanaJeshi la Polisi Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja linawashikilia askari wanne wa vikosi vya Serikali ya Mapinduzi Zanzibar (SMZ) na maofisa watatu wa Idara ya misitu kwa tuhuma za mauaji ya Katibu wa ACT Wazalendo tawi la Mwembemakumbu, Said Salum Suleiman.
Video hii inamuonyesh SAID MMANGA SULEIMAN, Mwenyekiti wa ACT Wazalendo, tawi la Mwembe Makumbi, aliyepigwa risasi na polisi na kufariki baada ya muda, kwa kosa lakukamatwa na mchanga katika maeneo ya Muembe Makumbi Mkoa wa Mjini Magharib
----
Jeshi la Polisi Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja linawashikilia watu saba kwa tuhuma za mauaji ya Said Salum Suleiman (32) mkazi wa Mwembemakumbi mjini Unguja.
Wanaoshikiliwa kwa tuhuma za mauaji ya Suleiman ambaye alikuwa katibu wa ACT-Wazalendo tawi la Mwembemakumbu ni askari wanne wa vikosi vya Serikali ya Mapinduzi Zanzibar (SMZ) na maofisa watatu wa idara ya misitu.
Akizungumza na waandishi wa habari leo Alhamisi Novemba 12, 2020 Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mjini Magharibi, Awadh Juma Haji amesema tukio hilo limetokea jana saa 8 mchana ikidaiwa kuwa alipigwa risasi na maofisa hao eneo la Mwembemakumbi.
Amesema askari hao wakiwa wameambatana na maofisa wa idara ya misitu walikuwa katika doria maalumu kuwabaini wanaojihusisha na uhalifu wa mazao ya misitu na uharibifu wa mazingira.
Amesema wakiwa wanatokea katikati ya mji wakiwa na gari lenye namba za usajili SMZ 451B aina ya Mitsubishi walimkuta Suleiman akiwa na mkokoteni uliopakiwa mchanga.
Amesema mkokoteni huo ulikuwa ukivutwa na punda na alikuwa akitokea eneo la bondeni kuingia barabarani lakini alipowaona alikimbia na kuacha mkokoteni huo.
Amebainisha kuwa askari hao walichukua mkokoteni huo kwa lengo la kuupeleka katika ofisi zao zilizopo Maruhubi lakini muda mfupi baadaye walivamiwa na kundi la vijana wakiwa na mapanga na silaha mbalimbali, akidai kuwa walitaka kuwazuia polisi na maofisa hao kutoondoka na gari walilokuwa wamepanda.
Amesema katika kile alichokiita mapambano watu hao walivunja kioo cha nyuma cha gari na kusababisha askari kufyatua risasi iliyompata Suleiman.
“Baada ya kutokea kwa tukio hilo maofisa hao waliondoka mara moja katika eneo hilo na kuwaachia wananchi wakitoa msaada kwa Suleiman ikiwa ni pamoja na kumpakia kwenye gari kwa lengo la kumpeleka hospitali,” amesema.
Chanzo: Mwananchi
HaahhahahaahahahahaaaKwanza marehemu alikimbia.
Alafu baadae wakatokea vijana wenye MAPANGA wakawazuia hao polisi.
Hao polisi wakafyatua risasi iliyompa marehemu aliyekimbia?
Huu ni uwongo,eti vijana wakabeba mapanga wakawazuia polisi,kijana gani asiye na akili kiasi hicho ,halafu wakasema ,halafu mbona kwenye taarifa zao wanasema katibu wa ACT-wazalendo alikimbia akacha mkokoteni sasa alipigwaje risasi,halafu kwanini asipigwe aliyeshika panga,kwanini? vijana walioshika mapanga wasishikwe?Jeshi la Polisi Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja linawashikilia askari wanne wa vikosi vya Serikali ya Mapinduzi Zanzibar (SMZ) na maofisa watatu wa Idara ya misitu kwa tuhuma za mauaji ya Katibu wa ACT Wazalendo tawi la Mwembemakumbu, Said Salum Suleiman.
Video hii inamuonyesh SAID MMANGA SULEIMAN, Mwenyekiti wa ACT Wazalendo, tawi la Mwembe Makumbi, aliyepigwa risasi na polisi na kufariki baada ya muda, kwa kosa lakukamatwa na mchanga katika maeneo ya Muembe Makumbi Mkoa wa Mjini Magharib
----
Jeshi la Polisi Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja linawashikilia watu saba kwa tuhuma za mauaji ya Said Salum Suleiman (32) mkazi wa Mwembemakumbi mjini Unguja.
Wanaoshikiliwa kwa tuhuma za mauaji ya Suleiman ambaye alikuwa katibu wa ACT-Wazalendo tawi la Mwembemakumbu ni askari wanne wa vikosi vya Serikali ya Mapinduzi Zanzibar (SMZ) na maofisa watatu wa idara ya misitu.
Akizungumza na waandishi wa habari leo Alhamisi Novemba 12, 2020 Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mjini Magharibi, Awadh Juma Haji amesema tukio hilo limetokea jana saa 8 mchana ikidaiwa kuwa alipigwa risasi na maofisa hao eneo la Mwembemakumbi.
Amesema askari hao wakiwa wameambatana na maofisa wa idara ya misitu walikuwa katika doria maalumu kuwabaini wanaojihusisha na uhalifu wa mazao ya misitu na uharibifu wa mazingira.
Amesema wakiwa wanatokea katikati ya mji wakiwa na gari lenye namba za usajili SMZ 451B aina ya Mitsubishi walimkuta Suleiman akiwa na mkokoteni uliopakiwa mchanga.
Amesema mkokoteni huo ulikuwa ukivutwa na punda na alikuwa akitokea eneo la bondeni kuingia barabarani lakini alipowaona alikimbia na kuacha mkokoteni huo.
Amebainisha kuwa askari hao walichukua mkokoteni huo kwa lengo la kuupeleka katika ofisi zao zilizopo Maruhubi lakini muda mfupi baadaye walivamiwa na kundi la vijana wakiwa na mapanga na silaha mbalimbali, akidai kuwa walitaka kuwazuia polisi na maofisa hao kutoondoka na gari walilokuwa wamepanda.
Amesema katika kile alichokiita mapambano watu hao walivunja kioo cha nyuma cha gari na kusababisha askari kufyatua risasi iliyompata Suleiman.
“Baada ya kutokea kwa tukio hilo maofisa hao waliondoka mara moja katika eneo hilo na kuwaachia wananchi wakitoa msaada kwa Suleiman ikiwa ni pamoja na kumpakia kwenye gari kwa lengo la kumpeleka hospitali,” amesema.
Chanzo: Mwananchi
Imetungwa ikatungikaJeshi la Polisi Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja linawashikilia askari wanne wa vikosi vya Serikali ya Mapinduzi Zanzibar (SMZ) na maofisa watatu wa Idara ya misitu kwa tuhuma za mauaji ya Katibu wa ACT Wazalendo tawi la Mwembemakumbu, Said Salum Suleiman.
Video hii inamuonyesh SAID MMANGA SULEIMAN, Mwenyekiti wa ACT Wazalendo, tawi la Mwembe Makumbi, aliyepigwa risasi na polisi na kufariki baada ya muda, kwa kosa lakukamatwa na mchanga katika maeneo ya Muembe Makumbi Mkoa wa Mjini Magharib
----
Jeshi la Polisi Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja linawashikilia watu saba kwa tuhuma za mauaji ya Said Salum Suleiman (32) mkazi wa Mwembemakumbi mjini Unguja.
Wanaoshikiliwa kwa tuhuma za mauaji ya Suleiman ambaye alikuwa katibu wa ACT-Wazalendo tawi la Mwembemakumbu ni askari wanne wa vikosi vya Serikali ya Mapinduzi Zanzibar (SMZ) na maofisa watatu wa idara ya misitu.
Akizungumza na waandishi wa habari leo Alhamisi Novemba 12, 2020 Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mjini Magharibi, Awadh Juma Haji amesema tukio hilo limetokea jana saa 8 mchana ikidaiwa kuwa alipigwa risasi na maofisa hao eneo la Mwembemakumbi.
Amesema askari hao wakiwa wameambatana na maofisa wa idara ya misitu walikuwa katika doria maalumu kuwabaini wanaojihusisha na uhalifu wa mazao ya misitu na uharibifu wa mazingira.
Amesema wakiwa wanatokea katikati ya mji wakiwa na gari lenye namba za usajili SMZ 451B aina ya Mitsubishi walimkuta Suleiman akiwa na mkokoteni uliopakiwa mchanga.
Amesema mkokoteni huo ulikuwa ukivutwa na punda na alikuwa akitokea eneo la bondeni kuingia barabarani lakini alipowaona alikimbia na kuacha mkokoteni huo.
Amebainisha kuwa askari hao walichukua mkokoteni huo kwa lengo la kuupeleka katika ofisi zao zilizopo Maruhubi lakini muda mfupi baadaye walivamiwa na kundi la vijana wakiwa na mapanga na silaha mbalimbali, akidai kuwa walitaka kuwazuia polisi na maofisa hao kutoondoka na gari walilokuwa wamepanda.
Amesema katika kile alichokiita mapambano watu hao walivunja kioo cha nyuma cha gari na kusababisha askari kufyatua risasi iliyompata Suleiman.
“Baada ya kutokea kwa tukio hilo maofisa hao waliondoka mara moja katika eneo hilo na kuwaachia wananchi wakitoa msaada kwa Suleiman ikiwa ni pamoja na kumpakia kwenye gari kwa lengo la kumpeleka hospitali,” amesema.
Chanzo: Mwananchi
Unawaamini hao policcm?!Kwa hii kauli tayari polisi washamaliza mchezo.
Sheria ipi?!Ndio maana Sheria ukisema usiandamane, ukaenda, kinacho kupata ni halali yako
MmmmmhhhYamebanwa yameanza kukamatana.
CCM wameanza kugeukana