Zanzibar: Aliyembaka binti yake mwenye miaka chini ya 13 aachiwa huru, kwa ushahidi kuwa binti ni mzoefu

Hii sio sawa jamani khaa kama hivyo ndivyo, je kama ingebainika mara zote binti alikuwa akiingiliwa na huyo huyo baba yake? itabadili maana na baba kutiwa hatiani? upuuzi huu
 
Ilibidi ipatikane full judgment na proceeding ya mahakama ndio tujadili kwa kina uamuzi wa mheshimiwa hakimu, kwa mujibu wa ushahidi uliotolewa na upande wa mashtaka na reasoning za hakimu husika...vyenginevo tutakuwa tunapresume tu hapa na kila mmoja kueleza fikra zake.
 
Back
Top Bottom