Zanzibar: Akutana na kipigo baada ya kuonekana akila mchana!

wakristo muna matatizo sana, ila Waislam hawashangazwi na hizi hila zenu. Maana imetabiriwa wazi kabisa 'Hawwatakuwa radhi mpaka muige mila zao'. Walishaonywa wazi kabisa kwamba kwa mwezi huu tu, mtu asiyefunga asile hadharani (siyo asile). Sasa mnaacha kumuadhibu mkaidi mnaishia kuwalaaumu wanaomshikisha adabu. Nyie kama mmeshindwa kufuata amri na mnaishi holela tu, ni hiyari yenu. Msilazimishe kila mtu awe muasi kisha usasa (modernity) sijui uhuru (freedom) hizo ni tunu za kikafir!
Kwani kumbe uislamu ni ni tamaduni nilikuwa cjui basi hawana haja ya kumuomba Mungu! Kumbe wenyewe kwa kutumia akili zao wanaweza jiongoza bila msaada wa Mungu!
 
wachangiaji humu naona wanablame tuu kitendo alichofanyiwa huyu jamaa,, ni hivi Zanzibar unapoingia tu mwezi wa ramadhani hutangaza kabisa na kutoa onyo Kali kwa wale watakaokula mchana hadharani kutokana na hilo tufahamu kwamba 99.8% ya wakazi wa kule ni waislamu so sio kama wanalazimisha watu wafunge LA hasha wanachotaka wao hivi hata kama hujafunga isiwe sababu ya ww kula hadharani kweupe,, sio mbaya ukanunua chakula chako au ukapika geto kwako ukala huko hakuna atakayekubughuzi lakini huyu jamaa anaonekana amelewa kabisa tena mchana nyie mlitaka afanywe nini wakati sheria zao kule katika huu mwezi walishazitangaza
Hizo sheria unazozungumzia ni za waislamu au za Mungu?
 
wakristo muna matatizo sana, ila Waislam hawashangazwi na hizi hila zenu. Maana imetabiriwa wazi kabisa 'Hawwatakuwa radhi mpaka muige mila zao'. Walishaonywa wazi kabisa kwamba kwa mwezi huu tu, mtu asiyefunga asile hadharani (siyo asile). Sasa mnaacha kumuadhibu mkaidi mnaishia kuwalaaumu wanaomshikisha adabu. Nyie kama mmeshindwa kufuata amri na mnaishi holela tu, ni hiyari yenu. Msilazimishe kila mtu awe muasi kisha usasa (modernity) sijui uhuru (freedom) hizo ni tunu za kikafir!
Acheni kuchagua dhambi nyie, kama ni nchi yakislamu je zanzibar inaongozwa na katiba au sharia?

Mlishampiga mawe alie zini au kata mkono alie iba -hapo nikuchagua dhambi tu.

Mungu ndo anaehukumu sasa mnamsaidia sio?

Let God be judge mengine tunaelekezakana nakutumia busara. Binadamu hana kibali chakuhukumu.

*Acheni kuchagua dhambi*
 
Kwa hasira namuita demu wangu wa kisilamu nakula mambo akigoma namuacha
Kwani wakifungua hiyo jioni si kila kitu kinaendelea kama kawaida, uzinzi, ulevi, n.k. yani yote unayoyajua ni chukizo kwa Mungu wanaendelea nayo mpaka asubuhi na hapo wanasema wamefunga. Wamebadilisha muda wa kula alafu wanatuambia wamefunga, basi kama ni hivyo hata wengine tunakuwa tumefunga usiku maana tukishakula jioni ni mpaka asubuhi ndio tunakula tena. Sasa kama umekula mpaka saa 11 asubuhi, si unakuwa umebadilisha muda tu badala ya kula mchana unakula usiku.
 
Mngeua mkaona mkono mrefu wa serikali!Waulize uamsho wa zanzibar wanavyosota segerea na kufumuliwa!
Halafu vijana wanaofanya upuuzi huo ni wapuuzi wasio na elimu dunia,huwezi ukakuta kijana ana degree akifanya upuuzi huo!
Makafiri bwana
 
Kuna watu mnaiabisha sana dini ya Kiislam! Yaani mnatenda tofauti na Mtume (S.A.W) alivyofundisha! Jifunzeni kutoka kwake, maana yeye ni mpole na mnyenyekevu.
 
Nisawa na mtu aende kanisani akasome quran atakulaje hadharani na watoto wadogo wamefunga wanajifunza nini kula kistaarabu sio hadharani mbele zawafungaji
Unatoa mfano usio na uhusiano na jambo husika!Ingekuwa kaenda kulia msikitini basi hapo angekuwa amekosea!
Mfano wako ungekuwa sawa kama ungesema mtu aingie mtaani kusoma kitabu cha dini moja!

Hao watoto wadogo ndio wanatakiwa kujifunza kuwa kuna dini mbali mbali na kila mtu ana uhuru wa kufuata dini yake!

Sidhani kama muislamu safi ana imani kama hiyo!Muislamu safi hawezi kujiingiza kwenye vitendo vya kipumbavu kama hivyo!
 
Tii sheria bila shuruti ndio maana hata vyuo vikuu kama saut na baadhi ya ofisi hhuruhusiwi kuvaa kanzu na ukivaa una kosa kibarua kuna ndugu yangu hapa kakosa kazi tanesco na sifa zote anazo eti kapiga paspoti saizi nakofia mahakamani pia hhuruhusiwi kuvaa kofia nchi isiyokuwa ya kidini masharti hayo ya nini?

Sent from my TECNO_P5_PLUS using JamiiForums mobile app
 
Unadhihirisha upumbabu ulionao!Hebu jisome tena ujicheke!!!!
Shwain,unalinganisha matakwa ya nchi na taasisi????
Inamaana Tanesco ni wakristu watupu?Jukwaa hili sio saizi yako mfia dini wew
 
Unajua napata taabu kuongea nakafiri wewe unae jua kula nakunywa kama mbuzi na wanyama wengine the same huna lolote ulijualo usipo silimu ukuni una kusubiri.

Sent from my TECNO_P5_PLUS using JamiiForums mobile app
 
Tii sheria bila shuruti ndio maana hata vyuo vikuu kama saut na baadhi ya ofisi hhuruhusiwi kuvaa kanzu na ukivaa una kosa kibarua kuna ndugu yangu hapa kakosa kazi tanesco na sifa zote anazo eti kapiga paspoti saizi nakofia mahakamani pia hhuruhusiwi kuvaa kofia nchi isiyokuwa ya kidini masharti hayo ya nini?

Sent from my TECNO_P5_PLUS using JamiiForums mobile app
Nisaidie elimu yako dada maana unatype pumba sana,
 
Back
Top Bottom