Zanzibar: Aingia matatani baada ya kukutwa kapika mchana kwenye baa yake

Akili za hawa ndugu zetu ni uniform dunia nzima hawachekani na hawatofautiani hata kama ana PhD hatofautiani na kibaka wa kuku.

hahahahahhha mkuu umenifurahisha sana yaan hivi zenji kumbe ni nchi yakiislam eh! jaman jaman wakija bongo watatumaliza balaa....uislam unataka kutamalaki kweli kweli
 
Imani ya lazima!! Waafrica tumezoa kila kitu (dodoki)tunabaki kuwindana na kusaka nani amekula na nani bado.

Hivi nikitenda dhambi si naenda jehanamu mwenyewe ?! Au tunaenda kama jamii?!

haahahahah nadhan tunaenda kama jamiii
 
Kwani Zanzibar kuna bar? sijawahi fikiria hilo!
Zipo nyingi sana mkuu zinafika hata 200 swali uislam unakataza pombe lakini mfungo ukiisha kesho wanaenda kuendeleza kunywa pombe kama kawa na kusasambua
 
Hao jamaa nao wamezidi!
Baa unafuata nn?
Chakula kwa ajili yangu na watumishi wangu mathalani yakuhusu nn wewe ambaye hauhusiki?
Ingekuwa anafanya hayo hadharani angalau ingeingia akilini lakini ndani mmh!
Wengi wa hao jamaa wanashinda njaa tu!
 
Hawa watu huwhuwa wananishangaza sana! Kufunga ufunge wewe na roho yako ila ukiona MTU anakula unaumia!

Roho mbaya sijui wataacha lini hawa washenzi
 
  • Thanks
Reactions: PNC
Npo saudi arab huku, mbona hayo mambo ya kijinga, kipumbavu na hovyo hayapo? Hiyo miznj ni ya ajabu kweli kweli...
 
  • Thanks
Reactions: PNC
Mfanyabiashara aliyejulikana kwa jina la Kasian ameingia matatani baada ya chakula kunaswa kwenye baa yake muda wa mchana na anatarajiwa kupandishwa mahakamani
Zanzibar serikali imekataza kwa mfanyabiashara yoyote kuuza chakula wakati wa mchana kwa vyovyote vile na usiku inaruhusiwa kwa waliopewa vibali tu
Mfanyabiashara huyo amedai chakula hicho kilikuwa kwa ajili ya mafundi kwenye baa yake na sio kwa ajili ya biashara


Tuliyasema haya kuwa Zanzibar na Wazanzibari kwa ujumla ni wabaguzi wa KIDINI
 
  • Thanks
Reactions: PNC
Bora tuvunje tu muungano na hili linchi lenye masharti ya kipuuzi...
 
  • Thanks
Reactions: PNC
Wazanzibari ndiyo maana Hanna akili ,mnakera kama nini. Kweli acha mzidi kutawaliwa tu..
 
  • Thanks
Reactions: PNC
Waacheni bna si wapo kwao lakini wanaboa wanapoenda ughaibuni na kutaka Ku force kuishi kama wapo nyumbani ..
 
  • Thanks
Reactions: PNC
Back
Top Bottom