Zanzibar: ACT Wazalendo wapinga Upunguzaji wa Majimbo kutoka 54 hadi 50, Wadai ni njama za CCM

Hayo ndio madhara ya kususia uchaguzi watapitisha kila kitu kwa manufaa yao

hayana mahusiano mkuu, CCM kila ukikaribia uchaguzi Zanzibar huwa wanakata upya majimbo, nahiyo kazi hufanywa na tume kwa niaba ya Chama Tawala. Kwahiyo hayajaanza leo hayo
 
Naunga mkono majimbo kupunguzwa, 54 kwa Zanzibar ni majimbo mengi sana, kwanza yalitakiwa yasizidi 20,
Wabunge ni gharama sana, mishahara, posho ni mzigo mkubwa

huyajui yaliyopo, Upunguzaji wenyewe hupunguzwa majimbo yenye wingi wa wapinzani. Pemba kutoka kuwa na majimbo 21 mwaka 2000 sasa yatakua 16. Sijawahi kusikia ngome za CCM zikipunguzwa majimbo
 
Kwa visiwani tujiandae kuona damu inamwagika tu miaka inayokuja, Syria nyengine ipo in making
 
huyajui yaliyopo, Upunguzaji wenyewe hupunguzwa majimbo yenye wingi wa wapinzani. Pemba kutoka kuwa na majimbo 21 mwaka 2000 sasa yatakua 16. Sijawahi kusikia ngome za CCM zikipunguzwa majimbo
Duh, kwa hiyo ndio Kama zile enzi za ZNP na ZPPP vs ASP?
 
Back
Top Bottom