Zantel zantel siwaelewi

baharia 1

JF-Expert Member
Sep 13, 2019
1,254
1,254
Habar wakuu
Naombeni ushauri wenu, juzi tarehe 24/12 saa 4 usiku nilifanya muamala kutoka EzyPesa kwenda NMB bank sh 320,000. Lakini message iliyorudi nihiyo chini kwenye picha
Kila nikiwapigia nawanasema wanashughulikia kutoka trh.24 mpaka sasahivi hakuna majibu nishapiga sana majibu yaleyale nimechoka. je nifanyaje wakuu
Screenshot_20201227-224935.jpg
 
Habar wakuu
Naombeni ushauri wenu, juzi tarehe 24/12 saa 4 usiku nilifanya muamala kutoka EzyPesa kwenda NMB bank sh 320,000. Lakini message iliyorudi nihiyo chini kwenye picha
Kila nikiwapigia nawanasema wanashughulikia kutoka trh.24 mpaka sasahivi hakuna majibu nishapiga sana majibu yaleyale nimechoka. je nifanyaje wakuu View attachment 1660938
Endelea kusubiria hata kama una shida na pesa shida ipo NMB na hela zitarudi.
 
Usituharibie Zantel Yetu. Tatizo linajionyesha wazi Bank yako ya NMB yawaja pokea uo muamala. Cha kufanya ni kuingia ktk menu ya eazy pexa 9 acount yangu kisha 4 rudisha muamala
 
Zantel naanza kuamini kuwa ni wahuni wahuni tuh
 
Leo tena saa 3 Asubuhi nimefanya muamala wash 137,000 sijapata message yoyote bank Wala kwao napesa bank haijafika napesa wamekata, nashindwa kuiamini tena hii kampuni simu ya zantel naomba kufahamishwa NICHUKUE hatua gani zakisheria ?

Asanteni.
Screenshot_20201228-102844.jpg
 
Leo tena saa 3 Asubuhi nimefanya muamala wash 137,000 sijapata message yoyote bank Wala kwao napesa bank haijafika napesa wamekata, nashindwa kuiamini tena hii kampuni simu ya zantel naomba kufahamishwa NICHUKUE hatua gani zakisheria ?

Asanteni.View attachment 1661245
Haya masuala ya kuhamisha pesa kutoka mitandao ya simu kwenda bank unaweza changanyikiwa mimi yalitaka kunigombanisha na ndugu yangu. Yani ndugu yangu alikuwa ana frem, na mimi nilikuwa na pesa yake kadhaa ambayo ilibidi nimrudishie akaniambia badala ya kumrudishia niideposite kwenye akaunti ya mwenye frem, basi mimi si nikahamisha milion tatu na nusu kwenda kwenye hiyo akaunti from tigo pesa. Nikapokea msg fresh na nikamwambia nshadeposite, akamwambia mhusika pesa ishaweka. Mhusika hakuangalia ikapita siku tatu anampigia kumwambia ndugu, mbona anataka kumtapeli. Ndugu yangu akanicheck naye ni vile tu tunaheshimiana ila nilihisi huenda ameanza doubt kama kweli nilideposite hiyo pesa. Nawapigia tigo mara oh samahani kweli muamala haukufika tunarekebisha. Siku ya kwanza hakuna kitu, nawapigia siku ya pili hakuna kitu, ikabidi niende ofisini kwao. Full usumbufu mpaka pesa imekuja kurudi siku ya tano nadhani nikaitoa nikadeposite bank kabisa.

Pesa ya mitandao ya simu kuna muda haiaminiki na ikitokea tatizo muda mwingine solution inakuwa ngumu hasa miamala ikiwa ni kutoka mtndao mmoja kwenda mwingine au mtandao kwenda bank.
 
sasa mkuu unanishaurije maana me nipo morogoro na ofisi zao zipo dar, jumla Nish 457,000/= yani nimechanganyikiwa sijui nifanyaje
 
Back
Top Bottom