Tumsifu Samwel
JF-Expert Member
- Jul 30, 2007
- 1,407
- 159
jamani naomba mnipatie manual setting za configaration setting za internet za Zantel na Tigo. Nimejaribu kuomba kupitia simu yangu kupitia namba 500 kwa tigo na namba 15098 zantel pasipo mafanikio,zantel wamenitumia lakini ni za wap na mimi nahitaji za internet,tigo siku hizi ndio ukiomba setting hawatumi kabisa .
Wadau naomba kwa yoyote mwenye nazo aniwekee hapa tafadhali maana nashindwa kusoma E-mail zangu kwani iliniweze kuzipata nilazima niwe na setting za internet kwenye simu na sio setting za wap.
Wadau naomba kwa yoyote mwenye nazo aniwekee hapa tafadhali maana nashindwa kusoma E-mail zangu kwani iliniweze kuzipata nilazima niwe na setting za internet kwenye simu na sio setting za wap.