Zantel/Tigo Internet configuratio setting

Tumsifu Samwel

JF-Expert Member
Jul 30, 2007
1,407
159
jamani naomba mnipatie manual setting za configaration setting za internet za Zantel na Tigo. Nimejaribu kuomba kupitia simu yangu kupitia namba 500 kwa tigo na namba 15098 zantel pasipo mafanikio,zantel wamenitumia lakini ni za wap na mimi nahitaji za internet,tigo siku hizi ndio ukiomba setting hawatumi kabisa .

Wadau naomba kwa yoyote mwenye nazo aniwekee hapa tafadhali maana nashindwa kusoma E-mail zangu kwani iliniweze kuzipata nilazima niwe na setting za internet kwenye simu na sio setting za wap.
 
Kwa zantel tumia
kwenye APN jaza znet

kwa Tigo
kwenye APN jaza tigoweb

try and let me know.
 
Kwa zantel tumia
kwenye APN jaza znet

kwa Tigo
kwenye APN jaza tigoweb

try and let me know.
Mkuu,naomba unipe na IP Address na port namba yake,kwa mfano address ya zain ni
Address:0.0.0.0
Port: 80
naomba maelekezo zaidi tafadhali.
 
Kwa zantel tumia
kwenye APN jaza znet

kwa Tigo
kwenye APN jaza tigoweb

try and let me know.
HODI TENA WANAJF.

Once again I am getting a great support from great thinkers. Nimefanya utundu wangu, nkapiga simu Customer care hakukuwa na maada but through this thread, problem solved
 
Back
Top Bottom