Zantel on Yahoo Add | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Zantel on Yahoo Add

Discussion in 'Matangazo madogo' started by Omutwale, Jan 2, 2009.

 1. Omutwale

  Omutwale JF-Expert Member

  #1
  Jan 2, 2009
  Joined: Feb 4, 2008
  Messages: 1,429
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 145
  Nimefurahi kuona jinsi Marketers wa Zantel anavyojitahidi kutangaza huduma yao ya internet.

  Binafsi namshauri aweke tanzazo lake na hapa JF. Watu hawajagundua, kwa mwezi JF inatembelewa na zaidi ya watu milioni 9 wakiwa na IP tofauti zaidi ya 20,000. Kwa Marketer anyeelewa, hapa JF kuna potential market kwa sababu tayari hawa watu wanahitaji internet ya uhakika.
   
 2. KiuyaJibu

  KiuyaJibu JF-Expert Member

  #2
  Jan 2, 2009
  Joined: Aug 29, 2007
  Messages: 769
  Likes Received: 70
  Trophy Points: 45
  Kama ni hivyo tujaribu kuwashawishi Zantel na makampuni mengine ya hapa nchini na hata ya nje ya nchi,serikali na taasisi zake na NGOs kutumia JF katika matangazo.
  Hii itakuwa ni nzuri sana kwao kabla ya kufika huko kwenye mitandao ya nje kama yahoo kwasababu walengwa wengi ni hapa Tanzania kwanza kabla ya kuenda mbali zaidi.
   
 3. MwalimuZawadi

  MwalimuZawadi JF-Expert Member

  #3
  Jan 2, 2009
  Joined: Sep 1, 2007
  Messages: 643
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Mkuu
  Hao niliowakandamizia kwa wino mzito watakubali bila kupewa rushwa?
   
 4. Invisible

  Invisible Admin Staff Member

  #4
  Jan 2, 2009
  Joined: Feb 11, 2006
  Messages: 9,091
  Likes Received: 237
  Trophy Points: 160
  Omutwale,

  Zantel si kama hawataki kutangaza hapa JF, waliweka "Targeted add" kwa kuwatumia Google, tukaliona na kuli-block.

  Wao wana uwezo wa kuweka tangazo hapa na bei zetu ni fair sana tu
   
 5. M

  Malunde-Malundi JF-Expert Member

  #5
  Jan 2, 2009
  Joined: Jan 10, 2008
  Messages: 1,287
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Good Invisible wwache wizi mtupu; sasa Zantel hiyo ndio hii yetu au ile ya dubai? kama ni yetu hawana budi kwenda JF mara moja
   
 6. Nzokanhyilu

  Nzokanhyilu JF-Expert Member

  #6
  Jan 3, 2009
  Joined: Feb 19, 2007
  Messages: 1,087
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 0
  LOL. You funny. That has made my year already!!
   
 7. Omutwale

  Omutwale JF-Expert Member

  #7
  Jan 3, 2009
  Joined: Feb 4, 2008
  Messages: 1,429
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 145
  Poa nitaongea na Management ya JF tuckeck nao hawa jamaa.

  Na wale wote wenye nia ya kutangaza kupitia traffic ya hapa JF tafadhari tuwasiliane.
   
 8. Geeque

  Geeque JF-Expert Member

  #8
  Jan 8, 2009
  Joined: Aug 17, 2007
  Messages: 848
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 35
  Bomba sana Mazee ndio kilichobaki waache matangazo yao yakatokee Afghanistan na Iraq huko.
   
Loading...