mtanganyika wa kweli
JF-Expert Member
- Apr 12, 2015
- 2,420
- 1,718
hao matapeli nw hakun vifurushi unavyotakaWakuu naomba kujuzwa nimekimbia halotel nimesajii laini ya zantel garama nafuu sana mwenyewe kujua jinsi ya kujiunga na University offer anipe kod zake.. Laini nimesajili ya chuo ila inagoma kujiunga cha chuo.. Wale wazoefu msaada. View attachment 664283