Bahati furaha
JF-Expert Member
- Jul 11, 2012
- 3,030
- 1,384
mhhh nyie mnaosema tigo wameinunua zantel ni ya kweli haya?
Zantel(Zanzibar Telecom) ni kampuni lenye hisa toka serikali ya zanzibar pamoja na Etisalat.
Tigo wao wamenu ua hiza za Etisalat(mwenye hisa nyingi) na SMZ wamebaki na hisa zao na jina la halitabadilishwa.