Zantel nawashukuru Kwa kunipunguzia stress MB 500 Kwa 500sh.

kesho kutwa

JF-Expert Member
Dec 7, 2016
1,628
1,786
Wakuu naomba mwenye uhitaji wa kutuliza ukali wa mb kua garama kubwa sajili zantel ya chuo utainjoi maisha.
 
Kifurushi kitamu bila internet ya maana nitakifanyia nini?
 
Back
Top Bottom