Zantel na was hukuti Kwa kunipunguzia stress MB 500 Kwa 500sh

kesho kutwa

JF-Expert Member
Dec 7, 2016
1,628
1,786
Wakuu naomba mwenye uhitaji wa kutuliza ukali wa mb kua garama kubwa sajili zantel ya chuo utainjoi maisha.
 
Hongera kwa kupewa mb 500.

Watakuja wa voda na kudai wanapatiwa Gb 5 kwa gharama ya tsh 2000 mwezi mzima.
 
Hongera kwa kupewa mb 500.

Watakuja wa voda na kudai wanapatiwa Gb 5 kwa gharama ya tsh 2000 mwezi mzima.
 
3GB kwa TZS 2000 kwa wiki
Screenshot_2018-02-24-20-47-30.png

Hii ni Vodacom Special for you
 
Wakuu naomba mwenye uhitaji wa kutuliza ukali wa mb kua garama kubwa sajili zantel ya chuo utainjoi maisha.
Upo wapi Mkuu?
Kama unaishi Tanzania visiwani sawa.
Ila kama unaishi huku Tanzania bara, tabu tupu:
-Network yenyewe ya zantel inasumbua.
-Vocha zenyewe kupatikana shida.
 
Back
Top Bottom