Shida na raha
JF-Expert Member
- Aug 8, 2014
- 3,773
- 3,471
Nimekua mtumiaji mkubwa wa kujiunga vifurushi vya masaa 24, ila kinachonikera hamtaki kuweka mda wa kumaliza dkk.
Utakuta nina dkk 60, sijui hata zinaisha saa ngapi zinaenda bure bila mafanikio.
Ushauri wangu, muwe kama mitandao jirani, nainjoi sana nikijiunga mitandao mengine, kila nikiuliza salio wanaonesha na mda wa kumaliza, nafikiri mmenielewa, nategemea mafanikio mazuri kutoka kwenu.