Zantel Internet Bundles...

Mrimi

JF-Expert Member
Jul 18, 2011
1,691
633
Wakuu kuna mtu kaniambia Zantel wana kifurushi cha TSH 20,000/-kwa mwezi unlimited. Lakini nimecheck kwenye web yao sijaona kitu kama hicho.Kwa kuwa najua kuna watumiaji wa Zantel wengi humu ndani,naombeni mnisaidie kujua kama kuna ukweli wowote ktk hilo.Na je,hiyo unlimited yao hawabani speed? Pia ninawezaje kununua bundles zao kwenye simu/modem?
 
Ninachojua bundle hiyo inaitwa mono na hiyo ndo bei yake unapewa 5GB kwa mwezi. kwa info zaidi bofya *149*07# ukiwa a line ya zantel au Find your Rhythm
 
Ninachojua bundle hiyo inaitwa mono na hiyo ndo bei yake unapewa 5GB kwa mwezi. kwa info zaidi bofya *149*07# ukiwa a line ya zantel au Find your Rhythm

Hata mimi nimeona. Ndio maana nikaomba ufafanuzi kutoka kwa
watumiaji wa Zantel internet.Maana haya mambo hukawii kula za uso ukiingia kichwa kichwa!

Ezynet.jpg
 
Back
Top Bottom