ZANTEL...! Hizi ndo Speed Ambazo Tumezoa na wala Hatushangai

Mkuu pole sana inaonekana una bahati mbaya sana kwa hayo maeneo yako hatujakufikia. suala lako nimelipeleka kwa wahusika basi tunalifanyia kazi. Naomba kujua ulikua unatumia modem gani? ya CDMA au ulitumia line zetu za GSM(3G) mkuu?

Nasikia 3G inaishia posta tu hizi hizi mdom za kawaida CDMA nimenunua kitambo sana ila kuanzia mwaka huu mmeanza kuchemsha mbayaaaa sijui ndio mnaridhika na pesa hata siwaelewi sasa hivi nimelazimika kurudi nilipokua japo nao sometime wanaboa wao ntawasema siku nyingine......ila nyie leo ndio zamu yenu mnaboa mjirekebishe matangazo yaendane na service mnazotoa fanyeni research kama watu wote wanapata service kama inavyotakiwa , rekodi za wateja mnazo zitumieni wapigieni simu , ongeeni nao....nyie hamna kitengo cha Quality.......mna kitengo cha Quantity tu aaaah ona sasa naanza kuwafundisha kazi........haya nasubiri nione kama mtajirekebisha au ndio yale yale ya waliotufikisha hapa ...............
 
Mkuu, asante kwa link, naomba kujua umefanyeje hadi ume fanikiwa kugeuza torrent file likawezekana kudownload kupitia IDM?

na shida na movie hii sana,http://kat.ph/mac-and-devin-go-to-highschool-2012-bdrip-ac3-5-1-xvid-axed-t6458817.html nimejaribu kudownload kupitia torrent client, speed ya kudownload iko slow sana
macanddevingotohighscho.jpg

kwa sababu isiyozuilika so ckuweza kutuma link ya movie yako Biohazard itakua released tarehe 28 june.

http://vip.yify-torrents.com/Mac%20And%20Devin%20Go%20To%20Highschool%20(2012)/Mac.And.Devin.Go.To.Highschool.2012.720p.BluRay.x264.YIFY.mp4
 
Nasikia 3G inaishia posta tu hizi hizi mdom za kawaida CDMA nimenunua kitambo sana ila kuanzia mwaka huu mmeanza kuchemsha mbayaaaa sijui ndio mnaridhika na pesa hata siwaelewi sasa hivi nimelazimika kurudi nilipokua japo nao sometime wanaboa wao ntawasema siku nyingine......ila nyie leo ndio zamu yenu mnaboa mjirekebishe matangazo yaendane na service mnazotoa fanyeni research kama watu wote wanapata service kama inavyotakiwa , rekodi za wateja mnazo zitumieni wapigieni simu , ongeeni nao....nyie hamna kitengo cha Quality.......mna kitengo cha Quantity tu aaaah ona sasa naanza kuwafundisha kazi........haya nasubiri nione kama mtajirekebisha au ndio yale yale ya waliotufikisha hapa ...............

Asanthe mkuu tunalifanyia kazi pia ningeomba kujua mahali ulipo ili tuweze kulifanyia kazi hilo suala najua umewawakilisha wengi wenye tatizo kama lako.
 
Back
Top Bottom