ZANTEL...! Hizi ndo Speed Ambazo Tumezoa na wala Hatushangai

Biohazard

JF-Expert Member
Aug 21, 2011
2,197
1,459
Hii ni movie ya 1.5GB nadownload kwa aproximation ya dk 20 nipewe nn tena. Na link ni hii hapa na ww jaribu kwako. Mie natumia Zantel

http://vip.yify-torrents.com/Wrath%20of%20the%20Titans%20(2012)%20%5B1080p%5D/Wrath.of.the.Titans.2012.1080p.BrRip.x264.YIFY.mp4

http://vip.yify-torrents.com/Wrath%20of%20the%20Titans%20(2012)%20%5B1080p%5D/Wrath.of.the.Titans.2012.1080p.BrRip.x264.YIFY.srt
ZANTEL.JPG
 
Hata me jana hii hali imenishangaza sana jamaa wana speed ya ajabu sana!
 
speed hiyo umeizowea tokea lini? kitu umeshakizoea ndio ukaamua kukianzishia thread leo?
 
speed hiyo umeizowea tokea lini? kitu umeshakizoea ndio ukaamua kukianzishia thread leo?

Longtime kitambo... Nimeona nifungue uzi sababu mtu akipata hata 400kbps anapiga kelele. Sasa na sie wa 1mb tufanyeje sasa
 
Mkuu unatumia modem model ipi na kifurushi kipi???

Mkuu natumia Huawei E367 uwezo ni 21mbps na kuhusu kifurushi natumia kifurushi ambacho hawajalimit speed yani full kujiachia. Ukihitaji hii speed unatakiwa kutumia line zao zantel za 3g sio zilo modem dume za CDMA ambazo hazitumii line
 
kuna baadhi ya maeneo tu ndio speed hiyo inapatikana, kuna maeneo mengine hapa hapa dar ni utumbo mtupu. angalia kwangu mimi nipo chini ya mnara full network. kabla ya peak hour speed haitulii. inarange between 1Mbps hadi 4Mbps. zantel.PNG
 
nyie wote ni maafisa biashara /matangazo wa zantel. Hata kama inawezekana kudowload 1.5GB ndani ya dk 20 bei ya hiyo kifurushi kwa hao jamaa (zantel) unaweza kununulia kiwanja kule mabepwande na chenchi ikarudi.
 
kuna baadhi ya maeneo tu ndio speed hiyo inapatikana, kuna maeneo mengine hapa hapa dar ni utumbo mtupu. angalia kwangu mimi nipo chini ya mnara full network. kabla ya peak hour speed haitulii. inarange between 1Mbps hadi 4Mbps. View attachment 56907

Duu......... Pole sana mkuu hamia kwetu huku NGETA TEMEKE Hospital ule Sushi mkuu.

Ila hata hiyo speed unayopata sio mbaya mkuu as long as bundle ni sri yangu imetulia hiyo.
 
nyie wote ni maafisa biashara /matangazo wa zantel. Hata kama inawezekana kudowload 1.5GB ndani ya dk 20 bei ya hiyo kifurushi kwa hao jamaa (zantel) unaweza kununulia kiwanja kule mabepwande na chenchi ikarudi.

Sio kama unavyodhani kuna bundle ya 6000/= unapata 3days unlimited sio mbaya ukinunua hiyo.
 
correction hicho ni kwa 5000 tu

Recorrection of Serious Error

Hivi ww ni mtumiaji wa Zantel au unatumia kwa nadra. Kama una zantel hapo Bofya *149*07# then 1 then 3 then 3 ni kifurushi cha 6000/= siku tatu. Yani hiyo 5000/= ilishapitwa na wakati.
 
Yuko Outdated huyo jamaa
 
Back
Top Bottom