Zambian becomes Poland's second black lawmaker

ByaseL

JF-Expert Member
Nov 22, 2007
2,225
247
A Zambian-born academic has become Poland's second black member of parliament, a new milestone in his adopted country which has a tiny minority community, election results showed Wednesday.
Killion Munyama won a seat in Sunday's polls, held just two days after he turned 50.

Munyama stood in a rural constituency near the northwestern city of Pila for the governing centrist Civic Platform, which has become the first incumbent party to won a second term since the 1989 demise of Poland's communist regime.

Born in 1961 in Makala, outside the Zambian capital Lusaka, Munyama came to communist-era Poland in 1982 to take an economics degree.

As Poland shifted rapidly to the free market, he stayed on to do a PhD on the role of the International Monetary Fund in Zambia's economic reforms, graduating in 1994.

He has since been a lecturer in international finance and also runs a consultancy preparing bids for funding from the European Union, which Poland joined in 2004.

Munyama entered politics in 2002 as a local councillor in the town of Grodzisk Wielkopolski, in charge of its international relations and EU funding bids.


The first black member of parliament in Poland was Nigerian-born John Godson, 40, from the central city of Lodz.
 
Please my broda......come home .....come home......Zambia needs you.
By the way congrats.
 
Wapo Watanzania wachache sana na wote kama wanaishi hapa basi wanaridhika. Kuna wakati jamaa walianza kupenyeza hiyo mikakati ila swali likawa je watakuwa wangapi? Mpango ulikufa na ikaonekana, Poland nzima wabaki Watanzania bila makundi ya vyama vya upinzani.

Watanzania wengi waliomaliza shule Poland wapo Tanzania na wachache sana wakiwa nje ya nchi hasa nchi za West Europe na USA. Ila Wazambia ni mmoja wa mfano wa nchi ambazo wasomi wake wengi wazuri walibaki Poland. Mmoja wapo anaitwa Dr. Richard Mbewe ambaye ni mwalimu na Mchumi wa shirika .......... Sikumbuki kwa sasa maana shirika lake za zamani lilikuja pata matatizo sana.

Mbewe ni mtu ambaye anaheshimika sana Poland kwa sababu maono yake ya uchumi (Minada ya fedha) huwa asilimia kubwa yanakuwa kweli. Akisema fedha ya Poland itashuka basi inakuwa kweli na akisema itapanda basi itakuwa kweli. Kwa hilo jamaa ana kipaji sana na hiyo imekuja kumletea sifa kubwa sana mara pale alipokuwa kwenye kipindi cha TV ya Poland kiitwacho Plus Minus (mambo ya Wall Street). Watu wangi walikuwa wakiangalia kipindi hiki ili kusikiliza Mbewe anasema nini na hapo wajiandae na fedha au uwekezaji wao.

Poland ni nchi ambayo inabadilika vizuri huku ikichukua wageni wenye uwezo kwenye system. Ni tofauti ni nchi kama Ufaransa ambako wageni wametengwa sana hata kama ana uwezo mkubwa sana kuwazidi wao. Wameachia tu kwenye michezo maana huko kila wakiwatenga, wanafungwa hadi inaleta kinaa.

Rais wa Zambia kama kweli atakuwa na mpango wa kufufua uchumiwa Zambia basi si lazima hawa warudi. Wanaweza kuwa washauri wake wakiwa mbali. Uzuri ni kuwa wote ni wachumi wazuri ambao kwa namna moja au nyingine, wamechangia uchumi wa Poland kukuwa kutoka Ukoministi ulipoanguka na hadi ulipofikia sasa hivi. Kumbuka kuwa wakati dunia nzima inatetema kiuchumi, Poland walijijengea msingi mzuri sana ambao mwanzo waliulaani sana. Msingi huo ulijengwa na mtu ambaye alikuwa hapendwi vibaya sana ila sasa hivi wanamshukuru kimya kimya. Unaweza kupitia hapa kusoma habari za Prof. Leszek Balcerowicz.

Leszek Balcerowicz - Wikipedia, the free encyclopedia

Mwakaribishwa Poland mje muwekeze ingawa nasikitika kusema kuwa labda tayari mmechelewa kwani sasa wanaingia Wahindi, Waasia huku USA na West Europe wakiwa wameshawekeza sana. Maisha ya Poland ni sawa na nchi nyingine za Ulaya sasa na labda hata ghali kuzidi kwa baadhi ya vitu. Kwa wafanya biashara, njooni mtafute bidhaa huku hasa kama unatafuta bidhaa ambazo zina ubora mzuri kwa bei nafuu kuzidi kwa mfano vya German, Uk nk. Poland ni nchi iliyo katikati kwa ubora na bei. Ni chini ya Western Europe na juu ya Asia.

Mwakaribishwa kwa maswali na maoni na ntajitahidi kuyajibu kwa kadri niwezavyo. Ahhh, KARIBUNI MWAKANI KWENYE EURO 2012.


Huko Poland watanzania bado hawajafungua matawi ya vyama vya siasa . ?
 
Kwa nyongeza tu ni kuwa Mbewe kwa sasa ni Private Sector Liaison Officer to the World Bank.

Huyu jamaa kweli hadi moyo unauma ukiona yupo hapa badala ya kuwa Zambia.

Labda Rais mpya atamsikia na kuamua kumrudisha nyumbani au hata kuwa mshauri ingawa najua itabidi kumuomba kwani hapa kipato chake kwa kweli kitakuwa kizito sana.
Pia shida nyingine naona kuwa jamaa siyo Mwana Siasa kabisaa maana angeligombea zamani sana ubunge na kuweza kushinda kiurahisi.


Richard Mbewe - Manager, Economic Information Unit at PAIiIZ - Poland - FinRoad
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom