Zambia: President Lungu announced the reopening of cinemas, restaurants and casinos saying it is time Zambians learnt to live with the new normal

joto la jiwe

JF-Expert Member
Sep 4, 2017
26,117
46,613
Wakati dunia nzima ilipoamua kufingia raia wake ndani kwa kuogopa maambukizi ya Corona, ni Magufuli pekee aliyesema kamwe hatofungia raia wake, na kuwaomba watanzania waendelee kuchapa kazi huku wakichukua tahadhari.

Kwa msimamo wake huo wa kipekee, dunia ilipatwa mshangao mkubwa na baadhi ya nchi kumkashifu na kumsema vibaya, hata baadhi ya nchi kuamua kufunga mipaka yake na Tanzania.

Magufuli aliendelea kushikilia misimamo yake ya kutofungia watu ndani na kuwaambua hakuna sababu ya kutishana na kwamba ni lazima watanzania wajifunze kuishi na Corona kama walivyojifunza kuishi na HIV, TB, Malaria na magonjwa wengine.

Leo hii walewale waliofunga mipaka na Tanzania wameanza kupita na kuiga mulemule alipopita Magufuli.

=======

Zambian President, Edgar Lungu has seemingly given up in the fight against the coronavirus after he “prematurely” relaxed key measures that were put in place to fight the killer virus.

In his national address on Friday, President Lungu announced the reopening of gyms, cinemas, restaurants and casinos saying it is time Zambians learnt to live with the new normal.

President Lungu also ordered pupils in examination classes to return to school. The announcement was made after Zambia had recorded 14 new Covid-19 cases in the last 24 hours, bringing the cumulative total to 167. He said:

The “new normal” means living with COVID-19 just like we have lived with other diseases such as malaria, HIV and Aids, and tuberculosis, provided we adhere to the prescribed health guidelines, regulations and certification for COVID-19.
In embracing “the new normal-living with COVID-19”, let us continue to vigorously fight this disease and not become
complacent.

This comes in after The government of Zambia announced that from Monday May 11, it will be closing its border with Tanzania banning any movement into and out of both countries. This was following a vigorous testing of corona virus disease in the country where 76 people from the border town of Nakonde tested positive. Nakonde is located at the Zambia - Tanzania border. Zambia recorded 85 confirmed cases of covid-19 disease on Saturday May 9th whereby 76 cases were from the Nakonde town.

While announcing the new directives, health minister of Zambia Dr. Chitalu Chilufya noted that this was only a temporary measure as they monitor the situation and will also give them time to retrain their staffs.

“I would like to announce that effective Monday 11th May; we will be closing our Nakonde border. No traffic will be allowed in or out the country through that border. We will keep monitoring the situation and advise accordingly in due course. The government will also be retraining health care workers during this period,” said health minister Dr. Chitalu Chilufya during a press briefing.

At the same time Madagascar has call for South Africa's help in examining the covid-19 cure they found. South Africa shall perform according to their request in scientific analysis of the herbal portion COVID Organics. Let's all experience it if it is a fake portion or the real one. We are relying on you South African Scientists to please follow all the prescribed steps to perform this task respectfully and humbly. What can we be without our fellow countries who always stood up for one another through thick and thin. South Africa has expressed their willingness in helping Madagascar to analyze the herbal portion.

Zweli Mkhize the health minister confirmed their call from Madagascar's government who asked for help with scientific research.

"Our Scientists would be able to assist in the research. We will only get involved in a scientific analysis of the herb", Mkhize said.

Source: Lusaka Times

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Pombe Magufuli Branded a Genius as President Trump Predicts Victory Post-COVID-19 Crisis Ndio kawaida ya media uchwara, kazi ni kusifia sifia tu miungu watu. Uanahabari maandazi. Nimeona kwenye taarifa zao zingine wanamuita Magufuli 'genius' na 'maverick'. Pombe Magufuli Branded a Genius as President Trump Predicts Victory Post-COVID-19 Crisis Nilidhani watasema kwamba PM Boris Johnson na Edga Lungu wamesema kwamba Corona ni kaugonjwa kadogo na kashetani.
Hahahaha, media hizo hizo uchwara ndio zilizomkashifu na kumuita "mkaidi" wote mliziunga mkono na kusema zinafanya kazi nzuri ya kuhabarisha watu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Magufuli aliendelea kushikilia misimamo yake ya kutofungia watu ndani na kuwaambua hakuna sababu ya kutishana na kwamba ni lazima watanzania wajifunze kuishi na Corona kama walivyojifunza kuishi na HIV, TB, Malaria na magonjwa wengine.
Watu Tanzania wamekufa sana, list ipo, people are documenting all deaths. kama kungelikuwa na lockdown, vifo vingi vingeliepukika. Kwenye nchi zinazojielewa, huyu angelipelekwa ICC for crime against humanity! Mchagulie kifungu kinachomhusu

Rome Statute of the International Criminal Court

Article 7
Crimes Against Humanity

For the purpose of this Statute, crime against humanity means any of the following acts when committed as part of a widespread or systematic attack directed against any civilian population, with knowledge of the attack:

Murder;

Extermination;

Enslavement;

Deportation or forcible transfer of population;

Imprisonment or other severe deprivation of physical liberty in violation of fundamental rules of international law;

Torture;

Rape, sexual slavery, enforced prostitution, forced pregnancy, enforced sterilization, or any other form of sexual violence of comparable gravity;

Persecution against any identifiable group or collectivity on political, racial, national, ethnic, cultural, religious, gender as defined in paragraph 3, or other grounds that are universally recognized as impermissible under international law, in connection with any act referred to in this paragraph or any crime within the jurisdiction of the Court;

Enforced disappearance of persons;

The crime of apartheid;

Other inhumane acts of a similar character intentionally causing great suffering, or serious injury to body or to mental or physical health.
 
Hivi lakini hii corona itaishajeishaje maana mbinu zote za kuizuia kuanzia China, Ulaya, Marekani na hata Afrika zimeonekana kushindwa kabisa

Wacha tu tukufe hakuna jinsi
 
Watu Tanzania wamekufa sana, list ipo, people are documenting all deaths. kama kungelikuwa na lockdown, vifo vingi vingeliepukika. Kwenye nchi zinazojielewa, huyu angelipelekwa ICC for crime against humanity! Mchagulie kifungu kinachomhusu

Rome Statute of the International Criminal Court

Article 7
Crimes Against Humanity

For the purpose of this Statute, crime against humanity means any of the following acts when committed as part of a widespread or systematic attack directed against any civilian population, with knowledge of the attack:

Murder;

Extermination;

Enslavement;

Deportation or forcible transfer of population;

Imprisonment or other severe deprivation of physical liberty in violation of fundamental rules of international law;

Torture;

Rape, sexual slavery, enforced prostitution, forced pregnancy, enforced sterilization, or any other form of sexual violence of comparable gravity;

Persecution against any identifiable group or collectivity on political, racial, national, ethnic, cultural, religious, gender as defined in paragraph 3, or other grounds that are universally recognized as impermissible under international law, in connection with any act referred to in this paragraph or any crime within the jurisdiction of the Court;

Enforced disappearance of persons;

The crime of apartheid;

Other inhumane acts of a similar character intentionally causing great suffering, or serious injury to body or to mental or physical health.
Hahahaha, tulishavuka hatua hiyo ya " Speculation and hearsays ". Lete ushahidi usiokua na chembe ya mashaka wenye kuonyesha idadi kamili ya watu waliokufa na maeneo ambako vifo vilitokea vya Corona.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
When time is ripe, not now!
Hahahaha, tulishavuka hatua hiyo ya " Speculation and hearsays ". Lete ushahidi usiokua na chembe ya mashaka wenye kuonyesha idadi kamili ya watu waliokufa na maeneo ambako vifo vilitokea vya Corona.
 
Hahahaha, media hizo hizo uchwara ndio zilizomkashifu na kumuita "mkaidi" wote mliziunga mkono na kusema zinafanya kazi nzuri ya kuhabarisha watu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Media zipi hizo, kama hii ambayo inasema kwamba Lungu ni rais wa Namibia? Wanahabari wao watakuwa ni walevi kupindukia na hizi taarifa wameziandika ili zisomwe na walevi wenzao.
 
Hahahaha, tulishavuka hatua hiyo ya " Speculation and hearsays ". Lete ushahidi usiokua na chembe ya mashaka wenye kuonyesha idadi kamili ya watu waliokufa na maeneo ambako vifo vilitokea vya Corona.

Sent using Jamii Forums mobile app
apate wapi ushaidi zaidi ya kuja na umbea tu wa kuokota okota kutoka kwa akina kigogo na wehu wenzie na kigogo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tatizo letu waafrica ni wanafiki mno

Ika MAGUFULI ni jembe haswaaaaa...huyu mzee apewe uraisi wa maisha kama bwana xi jinping
 
Back
Top Bottom