Zambia njeee!

Makamee

JF-Expert Member
Nov 29, 2013
2,029
1,191
Ktk Michuano ya Chalenge cup Sudan ya kusini wameitoa Zambia kwa kuichapa goli 2-1 Mpira umeisha.
Coming next Kenya vs Tanganyika
 
HAO Kilimanjaro wanarukaruka tuu, hii timu ifutwe na tukae miaka mitano bila kushiriki mashindano yoyote. Huku tukiwa tunajiaandaa
 
Mchezo ni mapumziko bado Tanganyika wako nyuma kwa goli 1
 
MPIRA UMEKWISHAAA!
Dk 90+3 fultime
Kenya 1
Tanganyika 0
Fainali itapigwa ni kati ya Kenya vs Sudan.
 
Back
Top Bottom