- Thread starter
- #41
Hizi nchi mnazipigia upatu sana ila tulioenda hizi zina miundombinu mibovu sijawaiona kuona tu lami tatizo kama zambi barabara ya mpakani na tunduma inayo ingiza kipato kikubwa ni vumbi yani ni aibu kwa hizi nchi za democracy
Tanzania unayoiona leo, ina kila kitu bandari, madini, gesi, ardhi yenye rutuba, kahawa, chai, hii nchi bila kua na viongozi mafisadi hata dola moja ingekua bado sawa na shilingi moja ya Tanzania, ufisadi, wizi wa ccm umefanya vietnam waliofuata michikichi na korosho hapa watupite kwa kila kitu, Indonesia tuliokua nao sawa kiuchumi hatuwaoni tena hata walipo