Zambia mpinzani kachukua nchi bila Katiba Mpya

Naam km kichwa habar kinavyojielewa sote tumeshuhudia zambia mpinzan akichukua nchi bila katiba mpya

Nawashaur chadema waache uvivu wa kufikir kwa kudhan kuwa katiba mpya ndio itawafanya waingie ikulu km bibi harus anavyoingia chumban kwa bwana ake.

Angalien mnakosea wap mrekebishe nasio kutafuta visingizio, tafuten agenda znazowagusa wananchi na sio kufanya siasa za matukio.

Kuwen na usiku mwema makamanda njaa na waoga wa kuthubutu na kujikosoa
ujinga ulikuwepo?
IMG_20210429_211017.jpg
 
Unaijua katiba ya Zambia?

Tume ya Zambia iko huru ivyo usilinganishe na takataka za kwetu.

Katiba mpya na tume huru kwetu ni lazima
 
Katiba ni muhimu wewe!!! Acha ujinga itaketa HAKI, USAWA NA UHURU wa kweli kwa Raia, vyombo vya habari na vyama vya kisiasa. Kutakuwa na uhuru wa Watanzania kuchagua Viongozi tuwatakao kuanzia Madiwani, Wabunge na Rais. Katiba mpya siyo ZIGO tia akili kichwani.
Kamanda acha uvivu wa kufikiri: Kenya upinzani walimshinda Uhuru (kanu) enzi zile za 'Kibaki tosha' kabla hata hawajapata katiba hii mpya waliyonayo. Katiba isiwe kisingizio cha kushindwa kuwashawishi wananchi.
 
Naam km kichwa habar kinavyojielewa sote tumeshuhudia zambia mpinzan akichukua nchi bila katiba mpya

Nawashaur chadema waache uvivu wa kufikir kwa kudhan kuwa katiba mpya ndio itawafanya waingie ikulu km bibi harus anavyoingia chumban kwa bwana ake.

Angalien mnakosea wap mrekebishe nasio kutafuta visingizio, tafuten agenda znazowagusa wananchi na sio kufanya siasa za matukio.

Kuwen na usiku mwema makamanda njaa na waoga wa kuthubutu na kujikosoa
Hivi we dogo unajua Zambia upinzani ukimtoa baba wa taifa la Zambia (Kaunda) madarakani?
 
Naam km kichwa habar kinavyojielewa sote tumeshuhudia zambia mpinzan akichukua nchi bila katiba mpya

Nawashaur chadema waache uvivu wa kufikir kwa kudhan kuwa katiba mpya ndio itawafanya waingie ikulu km bibi harus anavyoingia chumban kwa bwana ake.

Angalien mnakosea wap mrekebishe nasio kutafuta visingizio, tafuten agenda znazowagusa wananchi na sio kufanya siasa za matukio.

Kuwen na usiku mwema makamanda njaa na waoga wa kuthubutu na kujikosoa
Mkuu, imekuchukua muda gani kupanga hoja yako?
 
Naam km kichwa habar kinavyojielewa sote tumeshuhudia zambia mpinzan akichukua nchi bila katiba mpya

Nawashaur chadema waache uvivu wa kufikir kwa kudhan kuwa katiba mpya ndio itawafanya waingie ikulu km bibi harus anavyoingia chumban kwa bwana ake.

Angalien mnakosea wap mrekebishe nasio kutafuta visingizio, tafuten agenda znazowagusa wananchi na sio kufanya siasa za matukio.

Kuwen na usiku mwema makamanda njaa na waoga wa kuthubutu na kujikosoa
Hii siyo mara ya kwanza chama tawala kuondolewa madarakani ktk uchaguzi. Kenneth Kaunda aliondolewa Zambia. Wenzetu wana uvumilivu wa kisiasa tangu zamani katiba nzuri haipendelei chama cha siasa kilichopo madarakani
 
Najuwa wewe siyo CCM lakini CCM kwa ujinga wake wanafikiri katiba mpya ni kwa ajili ya chama fulani kuchukuwa madaraka. Katiba mpya ni ya Watanzania (Tume wa Jaji Waryoba). Ama ulikuwa haujazaliwa wakati wa Tume ya Jaji Waryoba?
Naam km kichwa habar kinavyojielewa sote tumeshuhudia zambia mpinzan akichukua nchi bila katiba mpya

Nawashaur chadema waache uvivu wa kufikir kwa kudhan kuwa katiba mpya ndio itawafanya waingie ikulu km bibi harus anavyoingia chumban kwa bwana ake.

Angalien mnakosea wap mrekebishe nasio kutafuta visingizio, tafuten agenda znazowagusa wananchi na sio kufanya siasa za matukio.

Kuwen na usiku mwema makamanda njaa na waoga wa kuthubutu na kujikosoa
 
Bila shaka CHADEMA ni mwiba mchungu kwa genge la wahujumu nchi,makuwadi wao na wale kasuku na nyumbu wanaoshinda mitandaoni kuisafisha kijani na njano iliyochafuka kila aina ya uchafu kwa maangamizi ya umma.
 
Katiba ni muhimu wewe!!! Acha ujinga itaketa HAKI, USAWA NA UHURU wa kweli kwa Raia, vyombo vya habari na vyama vya kisiasa. Kutakuwa na uhuru wa Watanzania kuchagua Viongozi tuwatakao kuanzia Madiwani, Wabunge na Rais. Katiba mpya siyo ZIGO tia akili kichwani.
Wakati nakubaliana na wale wote wanaosema tunahitaji katiba mpya na katiba ni muhimu, lakini tusitegemee katiba kufanya maajabu bila kuiheshimu. Hii katiba tuliyonayo ingekuwa inaheshimiwa sidhani kungekuwa na malalamiko. Kuna wengi humu wanaisifu katiba ya Kenya, lakini ukweli ni kuwa hata baada ya kuwa na tume huru nyingi huko Kenya, bado tume hizi hazijafanya chochote tofauti. Kumbuka hizo tume huru huwekwa na binadamu kama wewe kwa kutumia bunge. Huko bungeni kuna party interests na kinachotokea ni ni hizi party interests kuteka uhuru wa hizo tume. Kumbuka kuwa kwenye tume ni ajira, na hakuna nayetemea tume hizo zitafanya kazi kama robots, bila kuangalia ni nani aliwapigia kura kupata nafasi hizo.

Kwa hiyo hata tume ya uchaguzi , wajumbe wake kuteuliwa na raisi ni sawa na wajumbe haohao kupigiwa kura na wabunge wa chama kilicho na wabunge wengi. Hivi kama leo hii sheria ikisema wajumbe wapitishwe na bunge, ni kitu gani kitazuia wabunge kuwachaguwa wale watakaopsaidia chama chao. Hili swala ni tricky na sidhani jibu lake litapatikana kirahisi, mpaka pale tutakakuwa na wanachi waliyo tayari kutoa huduma bila kufikiria matumbo yao.
 
Katiba ya Zambia ni nzuri sio hii ya mwalimu Nyerere
Mwenyekiti na maafisa wa tume ya uchaguzi Zambia wanateuliwa na rais.

Hata Kenya KANU kiliangushwa na tume iliyokuwa imeteuliwa na serikali ya KANU.

Kwa hiyo katiba na ama tume hazina uhusiano na ushindi wa kisiasa.

Rejea Sheria ya Uchaguzi Zambia na Katiba ya Zambia hapa chini
 
Attachments

  • The Electoral Commission of Zambia Act No. 25, 2016.pdf
    31.6 KB · Views: 3
  • Zambia_2016.pdf
    550.5 KB · Views: 4
mdachi bila shaka unakula matunda ya ccm. Kula kwako hayo matunda ya ccm usidhani ni kila mmoja anayala. Ko ustake kuhalalisha haram kisa inakunufaisha huo ni ulofa na ubinafsi na adhabu yake ni kuliwa tako afu unyongwe mpaka ufe.
 
Naam km kichwa habar kinavyojielewa sote tumeshuhudia zambia mpinzan akichukua nchi bila katiba mpya

Nawashaur chadema waache uvivu wa kufikir kwa kudhan kuwa katiba mpya ndio itawafanya waingie ikulu km bibi harus anavyoingia chumban kwa bwana ake.

Angalien mnakosea wap mrekebishe nasio kutafuta visingizio, tafuten agenda znazowagusa wananchi na sio kufanya siasa za matukio.

Kuwen na usiku mwema makamanda njaa na waoga wa kuthubutu na kujikosoa

Naam km kichwa habar kinavyojielewa sote tumeshuhudia zambia mpinzan akichukua nchi bila katiba mpya

Nawashaur chadema waache uvivu wa kufikir kwa kudhan kuwa katiba mpya ndio itawafanya waingie ikulu km bibi harus anavyoingia chumban kwa bwana ake.

Angalien mnakosea wap mrekebishe nasio kutafuta visingizio, tafuten agenda znazowagusa wananchi na sio kufanya siasa za matukio.

Kuwen na usiku mwema makamanda njaa na waoga wa kuthubutu na kujikosoa
Jinga wewe!
 
Naona hii tabia imeanza kuingia vichwani mwa watu kwamba Chadema waache siasa za matukio,nimeamini watu wengi hawajui siasa.
Pamoja na kambwa vyama vina Katiba ambazo zinatoa Vision & Mission zao duniani kote hayo mnayoyaita matukio current issues ndio zinabadili muelekeo wa siasa.
Mfano mzuri kwa Tanzania Magufuli Ali emerge kutokana na matukio yaliyokuwepo Nchini kwa kipindi hivyo alitafutwa MTU ambaye wanaona angeweza kudhibiti hali ile ndipo akapatikana Magufuli.

Siasa ni matukio,siasa ni upepo,siasa ni kucheza na fursa.
 
Naam km kichwa habar kinavyojielewa sote tumeshuhudia zambia mpinzan akichukua nchi bila katiba mpya

Nawashaur chadema waache uvivu wa kufikir kwa kudhan kuwa katiba mpya ndio itawafanya waingie ikulu km bibi harus anavyoingia chumban kwa bwana ake.

Angalien mnakosea wap mrekebishe nasio kutafuta visingizio, tafuten agenda znazowagusa wananchi na sio kufanya siasa za matukio.

Kuwen na usiku mwema makamanda njaa na waoga wa kuthubutu na kujikosoa
Usiwe mvivu wa kufikiri! Hapa Tanzania hata katiba iliyopo haiheshimiwi kwa sababu ya madaraka makubwa aliyonayo Rais! Hapa Tanzania Tume ya Uchaguzi inamuabudi Rais na kumpigia kampeni!

Hivyo kinachohitajika ni katiba itakayopunguza madaraka ya Rais ili kuwe na Tume Huru ya Uchaguzi!
 
Mwenyekiti na maafisa wa tume ya uchaguzi Zambia wanateuliwa na rais.

Hata Kenya KANU kiliangushwa na tume iliyokuwa imeteuliwa na serikali ya KANU.

Kwa hiyo katiba na ama tume hazina uhusiano na ushindi wa kisiasa.

Rejea Sheria ya Uchaguzi Zambia na Katiba ya Zambia hapa chini
Kuna watu kama umewaruka wakurugenzi wanachaguliwa na nani? Na wakuu wa wilaya na nani, watendaji na nani wanachaguliwa? etc

Unaongea nini wewe
 
Naam km kichwa habar kinavyojielewa sote tumeshuhudia zambia mpinzan akichukua nchi bila katiba mpya

Nawashaur chadema waache uvivu wa kufikir kwa kudhan kuwa katiba mpya ndio itawafanya waingie ikulu km bibi harus anavyoingia chumban kwa bwana ake.

Angalien mnakosea wap mrekebishe nasio kutafuta visingizio, tafuten agenda znazowagusa wananchi na sio kufanya siasa za matukio.

Kuwen na usiku mwema makamanda njaa na waoga wa kuthubutu na kujikosoa
Mpinzani kamshinda Mpinzani mwingine na hii inaonyesha ni jinsi gani Vyama vya Upinzani nchini Zambua bado havijaweza kukidhi Matamanio ya Wazambia wengi kama ilivyokuwa kwa kilichokuwa Chama Tawala.
 
Naam kama kichwa habari kinavyojielewa sote tumeshuhudia Zambia mpinzani akichukua nchi bila Katiba Mpya

Nawashauri CHADEMA waache uvivu wa kufikiri kwa kudhani kuwa Katiba Mpya ndio itawafanya waingie Ikulu kama bibi harusi anavyoingia chumbani kwa bwana ake.

Angalieni mnakosea wapi mrekebishe na siyo kutafuta visingizio, tafuteni agenda zinazowagusa wananchi na sio kufanya siasa za matukio.
Very true. Japo Zambia Kanisa Katolik lipo imara. Huwa na Parallel tallying centre
 
Back
Top Bottom