Zambia: Mchungaji aliyeomba kuzikwa ili afufuke siku ya 3 kama Yesu akutwa amefariki dunia

Mchungaji wa kanisa la Zion amekufa baada ya kuzikwa hai
---

Mchungaji wa kanisa la Zion nchini Zambia James Sakara, aliyewaomba baadhi ya waumini wake wamchimbie kaburi na kisha wamzike akiwa hai kwa madai ya kwamba baada ya siku tatu angefufuka kama Yesu, amekutwa akiwa amefariki dunia.

Awali kabla ya maamuzi ya kuzikwa akiwa hai, baaadhi ya waumini wake walimkataza kufanya ujinga huo lakini baadaye, walijitokeza waumini wake watatu ambao waliamini madai yake ya kwamba angefufuka na kuamua kumzika na kwamba kabla ya kuzikwa aliwaambia waumini wake maneno haya.

"Fanyeni hivi kwa kunikumbuka mimi," alisema mchungaji huyo.

Imeelezwa kuwa mara baada ya kumkuta amefariki dunia, waumini hao walianza kumfanyia maombi ya kumfufua tena jambo ambalo halikuwezekana.

Hadi sasa Jeshi la Polisi nchini humo linaendelea kuwashikilia waumini waliomsaidia kumzika akiwa hai mchungaji huyo;

---

James Sakara, the pastor of a Zambian Christian church, was found dead after asking to be buried alive in the ground so he could come back to life in three days’ time, like Jesus…

To say that 22-year-old Sakara was overconfident in his ability to emulate the resurrection of Jesus Christ would be an understatement.

Be that as it may, the pastor of the Zion Church in the Zambian town of Chidiza managed to convince his congregation that he could in fact come back to life after three days, just like the Son of God.

He somehow got three members of his Church to assist him by digging a shallow grave, tying up his hands, and burying him alive, only instead of coming back to life after three days, Sakara was found dead by members of the Zion Church curious to see why their leader hadn’t fulfilled his promise.

Upon seeing their leader’s lifeless body, some members of the church attempted a series of “spiritual exercises” in order to resurrect him, but to no avail.

Trying to explain his decision to his flock, the young pastor, who was also a practitioner of traditional medicine, quoted scripture, saying that on the eve of his murder by Roman soldiers, Jesus’ words to his disciples – ‘do this in memory of me’ – referred to resurrection and not just imbibing wine and crunching unleavened bread.

As you can imagine, most members of Sakara’s congregation were reluctant to let him go through with his foolish stunt, let alone aide him, but eventually, three men came forward to assist the pastor with the burial.

One of them came forward, and two are currently wanted by police.

Bombastic stunts by dubious religious leaders are not unheard of in Africa. In years past, we wrote about pastors who claimed to have God’s phone number, or that could heal people by spraying bug spray in their face, and there was even one who staged elaborate resurrections that turned out to be fake.

But unlike these frauds, James Sakara was a victim of his misguided faith, and that sadly cost him his life. He left behind a young pregnant wife and many confused parishioners.

Mchungaji aliyekufa ni fala. Waumini waliomzika na kutegemea miujiza nao ni mafala. Na hilo kanisa lao pia ni la kifala na wala sio kanisa. Toka lini mwanadamu anaweza kumjaribu Mungu wake akafanikiwa?
 
Hivi Gwaji Mzee WA warembo anaweza kujaribu hii?. Kuna mmoja Kahama alitaka akae na njaa siku 40 kama Yesu, alifia ya thelathini na kitu. Mambo ya Ki MUNGU yanafanyiwa majaribio na binadamu!.
Poor belief, kuna watu wanafunga zaidi ya siku 90(miezi mitatu) na Mungu kawatetea wako vizuri tu kiimani, kiakili, kiafya.


Wapo wengine waliofunga usiku na mchana(masaa 24 kwa siku) kwa zaidi ya siku 14 nao wapo hai.

Mungu yupo na anao watakatifu wake duniani.

Ila usisahau kuwa Manabii wa uwongo wapo, mwombe sana Mungu akupe hekima za kuwatambua na kuwaepuka.
 
Anaitwa nani huyu?
Val Valentino
images-355.jpg
images-356.jpg
 
Kama unamjua uyu jamaa,

Hawa wachungaji wa kisasa matapeli watapata KAZI Sana kukushika Akili.

Uyu jamaa aliwahi kuzikwa hai, ata sikU tatu hazikufika tayar akafufuka

Uyu jamaa aliwahi kutembea juu ya maji

Uyu jamaa aliwahi kuficha tembo kwenye mfuko wa shati

Uyu jamaa aliwahi kusagwa na mashine ya mbao vipande vipande na akarudi kua hai bila hata kovu moja

Uyu jamaa aliwahi kubadili majani kua Pesa na akanunua bidhaa

UYU MWAMBA AKILI MINGI MNOView attachment 1902968
Anaitwa nani mkuu. Nikamtafute YouTube
 
14 Reactions
Reply
Back
Top Bottom