Zambia kuongozwa kwa amri 10 za Mungu....!

Sajenti

JF-Expert Member
Apr 24, 2008
3,651
412
Raisi mpya wa Zambia Michael Satta a.k.a King Cobra amesema kuwa utawala wake utaendesha serikali ya nchi hiyo kwa mujibu wa amri 10 za mungu. Katika kutekeleza amri hizo amesisitiza zaidi katika amri ya kutoiba na kwamba hategemei katika kipindi cha utawala wake kuna raia wa Zambia atakayejaribu kufanya wizi.

Haikufafanuliwa zaidi ni wizi wa aina gani ambao Raisi Satta alikuwa akiuzungumzia kwani yawezekana pia hata wizi wa kuku, bata na vitu vingine vidogo vidigi ukawa unafanyika. Raisi Satta ambaye ni muumini wa dhehebu la Roman Catholic amesema pia serikali yake itafanya kazi kwa karibu na kanisa la dhehebu hilo katika kile anachoamini kuwa kuifanya Zambia moja ya nchi yenye wacha mungu.

Hakueleza kwa wale watakaobainika kuiba watafanya nini, lakini inasemekana kuw Raisi Satta ni miongoni mwa viongozi wachache katika taifa hilo la kusini mwa bara la afrika wenye misimamo mikali na wasioogopa kufanya maamuzi magumu. Jina la utani la King Cobra alipewa na wananchi wa Zambia kutokana na ujasiri wake wa kutoa matamko makali sana dhidi ya serikali zilizopita na hasa zilipokuwa zikifumbia macho ufisadi katika tawala hizo.

Source: VOA news..
 
Tusubiri tuone,lakini kwanza his affiliation to the RC church puts him way of the mark.Halafu no body,and I repeat no body can fulfill the ten commandments,kwa hiyo anacho ongea ni hewa,kwa kuwa hata yeye mwenyewe hawezi.Ni Farisayo huyo.
Raisi mpya wa Zambia Michael Satta a.k.a King Cobra amesema kuwa utawala wake utaendesha serikali ya nchi hiyo kwa mujibu wa amri 10 za mungu. Katika kutekeleza amri hizo amesisitiza zaidi katika amri ya kutoiba na kwamba hategemei katika kipindi cha utawala wake kuna raia wa Zambia atakayejaribu kufanya wizi.

Haikufafanuliwa zaidi ni wizi wa aina gani ambao Raisi Satta alikuwa akiuzungumzia kwani yawezekana pia hata wizi wa kuku, bata na vitu vingine vidogo vidigi ukawa unafanyika. Raisi Satta ambaye ni muumini wa dhehebu la Roman Catholic amesema pia serikali yake itafanya kazi kwa karibu na kanisa la dhehebu hilo katika kile anachoamini kuwa kuifanya Zambia moja ya nchi yenye wacha mungu.

Hakueleza kwa wale watakaobainika kuiba watafanya nini, lakini inasemekana kuw Raisi Satta ni miongoni mwa viongozi wachache katika taifa hilo la kusini mwa bara la afrika wenye misimamo mikali na wasioogopa kufanya maamuzi magumu. Jina la utani la King Cobra alipewa na wananchi wa Zambia kutokana na ujasiri wake wa kutoa matamko makali sana dhidi ya serikali zilizopita na hasa zilipokuwa zikifumbia macho ufisadi katika tawala hizo.

Source: VOA news..
 
Tutarajie makanisa mengi ya RC kujengwa.
Kwenda kanisani iwe lazima.
OTIS
 
KInachotakiwa ni ahakikishe kuwa anawapatia Wazambia maisha mazuri, iwe kwa kutumia hizo amri kumi au amri nyingine zozote zile
 
Tutarajie makanisa mengi ya RC kujengwa.
Kwenda kanisani iwe lazima.
OTIS

mimi si m RC ila sijawahi kuona popote UKRISTO unalazimisha mtu kuishi maisha fulani.......ukristo sio jela la kidini duniani, free will imepewa nafasi kubwa kuanzia na MUNGU mwenyewe mpaka wanaowaongoza wakristo.....hakuna kulazimishana kwenda kanisani au kupigwa mawe usipofanya hili au lile, kulazimishana mavazi nk........
pia sidhani kama RC wana sababu ya kujenga makanisa mengi saana maana hata sasa yako mengi mpaka kwenye vijiji ambavyo hakuna ofisi za kiserikali wao wapo..sidhani kama ukiwauzia hoja ya kujenga makanisa barabara ya morogogo kutoka dar mpaka tunduma watakubali.......kwa sasa wao nadhani wana focus zingine tu hayo wametuachia sisi wenye vijikanisa vidogo dogo pamoja na watoto wa bi mdogo hajiri

mix with yours
 
islamists (uislam uliozidi) and fundamentalists (ukristo uliozidi) si mambo yakuyaentaetain kwenye tawala za nchi
 
Bandugu, naombeni msaada nimejaribu kufungua mpaka Oxford Dictionaries, sijakutana na ili neno (Aentaetain) mwenye kujua maana yake naomba atujuze

ni ki_comoro,..je unayo kamusi yao.
 
....hapo sasa ndio atakuwa kama Joseph Kony!!naona achanganye zote tu ilimradi ajenge nchi ya asali na maziwa ili yafike hata huku kwetu maana tumejengewa nchi ya ufisadi na kukatiwa umeme
 
Bandugu, naombeni msaada nimejaribu kufungua mpaka Oxford Dictionaries, sijakutana na ili neno (Aentaetain) mwenye kujua maana yake naomba atujuze
katafute tena zaidi na zaidi usitake kumezewa ukishindwa kamuulize mwl wa kingereza Mwita 25
 
habari mpya kutoka zambia zinasema wachina ambao ndio wamiliki wakuu wa migodi ya shaba wameanza ku-sign contract kwa wafanyakazi wote na kuwaongeza mishahara kwa aslimia 200 kitu ambacho kinaoneka kama maajabu makubwa
Katika mgodi mkubwa wa Chambish wafanyakazi wameshangazwa na kitendo hicho na kukiita uwoga wa wachina juu ya serikali mpya inayoongozwa na wazambia wenyewe
nitazidi kuwaletea updates

Comments za WaZambia!

1: Yes its true.its happening trade kings kafue,about 200 pipo hv bn enplyd 2day pipo ar on a lin as if dey ar voting,salaries increased from 15 pin a day to 30 pin.wao..

2: I heard i has happened at Chambishi Mine owned by the Chinese,,,80% across the board
3: The Guilty are afraid, let them start sweeping their homes clean b4 the labor laws start waking them up!
4: Ten commandments will rule.They shall not steal...Do gud unto otherz as you wud want them do gud unto u..Thus y we employed u king cobra teyenayo.
5: The cobra is a man of action and his reputation precedes him. I think it is this kind of man our country needs right now.

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom