Zambia kuongozwa kwa amri 10 za Mungu....!

dostum

JF-Expert Member
Nov 1, 2010
215
110
Huu ni uoni mzuri akijaribu hilo kwani ubepari haujatoa suluhisho kwa jamii. Labda ajaribu tu ingawa kazi ataipata, kwani sijui atawezaje kutoa hukumu wakati ukristo haujatoa hukumu, Lakini jeuri hii anaipata kwa kuwa idadi kubwa ya wazambia ni wakristo sasa kuna haja ya wazanzibar nao waamke ili tuone uislamu kama dini na kama mfumo wa maisha ambao ni mbadala wa ubepari nani ana uthubutu wa kuongoza nchi kwa mfumo wa kiislam? tatizo ni Muungano? Au Haiwezekana au wangozwa hawajatayarishwa....................... mjadala
 

Sajenti

JF-Expert Member
Apr 24, 2008
3,651
409
habari mpya kutoka zambia zinasema wachina ambao ndio wamiliki wakuu wa migodi ya shaba wameanza ku-sign contract kwa wafanyakazi wote na kuwaongeza mishahara kwa aslimia 200 kitu ambacho kinaoneka kama maajabu makubwa
Katika mgodi mkubwa wa Chambish wafanyakazi wameshangazwa na kitendo hicho na kukiita uwoga wa wachina juu ya serikali mpya inayoongozwa na wazambia wenyewe
nitazidi kuwaletea updates

Comments za WaZambia!

1: Yes its true.its happening trade kings kafue,about 200 pipo hv bn enplyd 2day pipo ar on a lin as if dey ar voting,salaries increased from 15 pin a day to 30 pin.wao..

2: I heard i has happened at Chambishi Mine owned by the Chinese,,,80% across the board
3: The Guilty are afraid, let them start sweeping their homes clean b4 the labor laws start waking them up!
4: Ten commandments will rule.They shall not steal...Do gud unto otherz as you wud want them do gud unto u..Thus y we employed u king cobra teyenayo.
5: The cobra is a man of action and his reputation precedes him. I think it is this kind of man our country needs right now.


... This could be a good start for Zambians....Sio ****** hapa wachina wanamchezea ndevu mara wamepewa kandarasi ya kujenga barabara advance payment wanakula na bado wanapiga misele kitaa kama kawa hakuna kai wala nini....!!
 

Kiby

JF-Expert Member
Nov 16, 2009
6,503
3,833
Katika speech ya sata ibadani kwake katoliki jana alisema kwamba serikali yake italindwa na amri kumi za Mungu. Mojawapo katika hizo aliitaja kwamba ni ''USIIBE'' kwamba yeyote aliyeiba ama kuiba atastahili kuhukumiwa. Aliongeza kwamba amri hizi doesn't contradict kauli ya Bwana Yesu kwamba ''samehe saba mara sabini'' zaidi ya kutilia mkazo kauli yake nyingine kwamba ''kile unachotaka ufanyiwe, nawe pia wafanyie wengine'' aliendelea kwamba kama watawala wangezingatia mambo hayo ni dhahiri katika nchi kusingelikuwa na watawala wachache wenye kula milo mitatu kwa siku huku watawaliwa ambao ni wengi wakiukosa hata huo mmoja.
.
 

Pdidy

JF-Expert Member
Nov 22, 2007
48,388
18,392
raisi mpya wa zambia michael satta a.k.a king cobra amesema kuwa utawala wake utaendesha serikali ya nchi hiyo kwa mujibu wa amri 10 za mungu. Katika kutekeleza amri hizo amesisitiza zaidi katika amri ya kutoiba na kwamba hategemei katika kipindi cha utawala wake kuna raia wa zambia atakayejaribu kufanya wizi.

Haikufafanuliwa zaidi ni wizi wa aina gani ambao raisi satta alikuwa akiuzungumzia kwani yawezekana pia hata wizi wa kuku, bata na vitu vingine vidogo vidigi ukawa unafanyika. Raisi satta ambaye ni muumini wa dhehebu la roman catholic amesema pia serikali yake itafanya kazi kwa karibu na kanisa la dhehebu hilo katika kile anachoamini kuwa kuifanya zambia moja ya nchi yenye wacha mungu.

Hakueleza kwa wale watakaobainika kuiba watafanya nini, lakini inasemekana kuw raisi satta ni miongoni mwa viongozi wachache katika taifa hilo la kusini mwa bara la afrika wenye misimamo mikali na wasioogopa kufanya maamuzi magumu. Jina la utani la king cobra alipewa na wananchi wa zambia kutokana na ujasiri wake wa kutoa matamko makali sana dhidi ya serikali zilizopita na hasa zilipokuwa zikifumbia macho ufisadi katika tawala hizo.

Source: Voa news..

samahani mkuu sikupingi ila naomba nikujuze hizo ni propaganda za serikali
mwaka kadhaa mwezi kadhaa ulifanyika mkutano mkubwa kule chimwaga aakachaguliwa bw mmoja ambae leo ni rais wa nchi fulan kutokana na bwana fulani kutokuwa na imani nae mkutano ukaambiwa kura azijarosha walipochaguliwa upya akachuguliwa jamaa mmoja aitwae bw bwm huyu bwana akiwa naingia aliapa kufa na rushwa na kuweka uchumi wa nchi imara siku yamwisho leo hii ukifika southafrica johannesburg airport kama unaenda kemptown park kuna gorofa moja kushoto kubwa unaweza hisi ni la serikali la hasha ni la huyu rais alietoka na kumwachia mwenzake ambae huyu kwa alikuja na wimbo wa ..223333 kwa kila mtanzania lakini leo hii anaongoza nchi akiwa nje ya nchi na ni rais aliesafiri kuliko wote katika historia ya marais wa nchi za afrika ...huyu nahisi atakuwa na hotel hadi london ,usa anapoenda kama chooni ,nk so sikukatishi tamaa wengi wanakuja hivyo wanageuka sana sana .mwingine mutahrika,b kinachoendelea subiri 29 sept
 
0 Reactions
Reply
Top Bottom