Zambia forces Malawi High Commission out of its building in Tanzania | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Zambia forces Malawi High Commission out of its building in Tanzania

Discussion in 'International Forum' started by Invisible, Nov 6, 2011.

 1. Invisible

  Invisible Admin Staff Member

  #1
  Nov 6, 2011
  Joined: Feb 11, 2006
  Messages: 9,091
  Likes Received: 237
  Trophy Points: 160
  November 6, 2011

  The tension between Zambia and Malawi has escalated with the the Malawian government moving its High Commission from the Zambian premises in Tanzania after Zambia hiked rent.

  The High Commissions of the two countries have been sharing an office block with Malawi renting to Zambia since the building is owned by the Zambia government.

  But a few weeks ago, Zambia raised the rent by more than 200 per cent forcing Malawi to move out.

  Malawi’s Principal Secretary in the ministry of foreign Affairs Patrick Kabambe confirmed the development to Malawian media saying with the increase in the rentals they had no choice but to move out of the building.

  The building is along Ohio Street in the city centre.

  A Zambian diplomat in n Dar-es-Salam said “Malawi will now operate from an office near Rose Garden area in Mikocheni, but its former offices on two floors are still vacant.”

  President Michael Sata recalled High Commissioner to Malawi Reuben Musakabantu, with immediate effect and has not sent a replacement.

  The tension between the two friendly countries started after Sata won the elections in Zambia and remembered that he was ejected from Malawi in 2007.

  He declined to attend a COMESA meeting in Malawi but demanded an apology from the eastern neighbour.

  Sata also offered a prohibited TV station in that country rights to beam into Malawi from Zambia.

  Source: http://www.zambianwatchdog.com/archives/25861
   
 2. Fang

  Fang Content Manager Staff Member

  #2
  Nov 6, 2011
  Joined: Nov 5, 2008
  Messages: 489
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Atleast this has happened in a country of which both don't belong, it would have been worse if that had happened to the Malawian's in Zambian soil (the sudden reallocation would have been a disaster) but to the so called polite Tanzanians prompt help was in no doubt available at par.
   
 3. Daniel Anderson

  Daniel Anderson JF-Expert Member

  #3
  Nov 6, 2011
  Joined: Aug 7, 2011
  Messages: 879
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Dawa ya jeuri ni kuwa jeuri zaidi yao.
   
 4. Pasco_jr_ngumi

  Pasco_jr_ngumi JF-Expert Member

  #4
  Nov 6, 2011
  Joined: Nov 20, 2010
  Messages: 1,811
  Likes Received: 30
  Trophy Points: 145
  Sata, hauna masiharaaaaaaaaa
  ni mwendo wa guuu pande, guuu sawaaaaaa.............

  we NI VLADMIR PUTIN WA AFRICA......twende kazi!"@#$%
   
 5. Fang

  Fang Content Manager Staff Member

  #5
  Nov 6, 2011
  Joined: Nov 5, 2008
  Messages: 489
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Calm down Man it's still morn'
   
 6. Mwawado

  Mwawado JF-Expert Member

  #6
  Nov 6, 2011
  Joined: Nov 2, 2006
  Messages: 998
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 35
  Mahusiano ya Kidiplomasia kati ya Malawi na Zambia yatalega lega,kihistoria Majirani hawa kusini mwa Afrika wana Nasaba,Watu wa Malawi wanaingiliana sana na watu wa Zambia na kuna familia zipo kiasili pande zote za Nchi hizi.Hapa kuna Jambo la kujifunza na haswa suala zima la nguvu za Rais.Rais Mteule wa Zambia Michael Chilufya Sata ni mtu wa visasi na mmtoa maamuzi yote mwenyewe bila kujali sana maamuzi ya washauri wake,Kwa kuwa Watanzania ni wapenda mambo ya haraka na ya mlipuko,Rais huyu (Labda kwa kuwa anatoka upinzani) amekuwa na upenzi mkubwa kutoka kwa Watanzania walio wengi,labda ni kutokana na maamuzi yake makubwa anayoyafanya kwa haraka.

  Hapa naandika machache kuonyesha uharaka na utendaji kazi wa Rais Sata,haya ni maoni yangu binafsi nipo wazi kupingwa na kushauriwa kwa sababu tunajifunza kwa njia hii,Kwangu Mimi naona Afrika hatuhitaji Viongozi Wababe kama Sata bali tunahitaji Taasisi kama Bunge,Mahakama na Vyombo vya Ulinzi Imara.Hivi karibuni baada ya kuchaguliwa Rais Sata ameingia ktk mgogoro na Rais Mstaafu,Rupia Banda baada ya Sata kudai kuwa Banda ana asili ya Malawi na kwamba Mama yake Banda bado anaishi Malawi hata baada ya Banda kuwa Rais wa Zambia na sheria mojawapo ya kuwa Rais wa zambia ni lazima uwe mzaliwa wa Zambia na Wazazi wako wote wawili wawe ni Raia wa Zambia.

  Rais Sata alifukuzwa (Deportation) Zambia mwaka 2007 baada ya kuonekana kuwa ziara yake hiyo binafsi ilikuwa na nia ya kwenda kusaidia upinzani dhidi ya serikali ya Bingu Wa Mutharika.Mwezi Oktoba 2011 Rais Sata alikataa kuhudhuria Mkutano wa Comesa kwa madai kuwa lazima serikali ya Malawi imuombe msamaha kwa sababu ya kitendo cha kufukuzwa Nchini humo mwaka 2007.Serikali ya Malawi ilikataa kufanya hivyo.

  Mara baada ya kuapishwa Rais Sata aliwaomba radhi Angola kwa maelezo kuwa Serikali ya Mzee kaunda ilifanya kosa kubwa kuwasaidia UNITA na Jonas Savimbi,kwa maana hiyo anawaomba Msamaha serikali ya Angola kwa kosa hilo kubwa,alipobanwa na vyombo vya habari vya Nje Sata alidai amefanya uamuzi huo kwa sababu za kiuchumi,ni rahisi kununua mafuta Angola kuliko sehemu yoyote duniani.

  Rais Sata mara baada ya kuanza kazi alimfukuza kazi Mkuu wa Ant-corruption Godfrey Kayukwa na nafasi yake kupewa Mwanamama Rosewin Wandi,sababu iliyotolewa ktk kumuondoa Kayukwa ni kwamba Taasisi hiyo ilishindwa kutoa majibu kwanini tenda ya kuchapisha nyaraka za Uchaguzi inapewa kampuni moja bila ushindani/mchakato (National printing group) kwa kipindi cha chaguzi mbili tofauti,hali hiyo ilionyesha kuwepo kwa rushwa ktk skuadi ya Ant-corruption.lakini ukweli wa mambo ni kwamba Ant-Corruption hiyo ilishawahi kumuhoji Sata (Alipokuwa raia wa kawaida) baada ya kumkuta ana jumla ya $ 500,000 ktk moja ya akaunti zake za Bank, Rais Sata pia alishawahi kuzuiwa Uwanja wa Ndege wa Johannesburg/Afrika kusini baada ya kukutwa anasafiri na kiasi kikubwa cha pesa.

  Kwa kuonyesha kuwa Sata ni mtu wa visasi,na bado ana kinyongo na Malawi,Mwezi Oktoba ameamuru Redio moja ya Nchini Malawi isirushe Matangazo yake ndani ya Zambia,Redio hiyo inamilikiwa na Atupele Mtoto wa Aliyekuwa Rais wa Malawi,Mzee Bakili Muluzi.

  Kwa hiyo maamuzi haya ya kupandisha Pango la Nyumba (Ubalozi) ni moja kati ya njia zake za kuikomesha Malawi,bado tutasikia mengi makubwa katika Utawala huu mpya wa Rais Michael sata.Lakini ni wazi kuwa masuala ya Nje na Diplomasia ya kimataifa kwa ujumla anahitaji ushauri madhubuti,vinginevyo Zambia itapoteza marafiki wengi.Kwani hata Muwekezaji mkubwa wa Zambia ktk Madini na sekta nyingine nyingi China wamekwisha kwaruzana nae,katika moja ya mikutano yake ya kampeni Sata aliwaita Wachina sio wawekezaji bali ni Wakoloni!
   
 7. Kimbunga

  Kimbunga Platinum Member

  #7
  Nov 6, 2011
  Joined: Oct 4, 2007
  Messages: 13,012
  Likes Received: 1,817
  Trophy Points: 280
  Duh hali inazidi kuwa tete! Hivi kuomba radhi ni kazi kubwa, Malawi si waombe radhi tu yaishe.
   
 8. TANMO

  TANMO JF-Expert Member

  #8
  Nov 6, 2011
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 8,919
  Likes Received: 220
  Trophy Points: 160
  Sata anaonekana kuwa rais mzuri, lakini inabidi ajifunze kutenganisha kati ya mambo binafsi na uongozi wa nchi. Manake jinsi anavyoiandama Malawi ni wazi kuwa analipa kisasi kwa waliyowahi kumtendea...
   
 9. M-pesa

  M-pesa JF-Expert Member

  #9
  Nov 6, 2011
  Joined: Sep 4, 2011
  Messages: 605
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  Mambo yote uliyoyataja ni jitihada za Michael Sata kufanya mageuzi ambayo ni ya faida kwa Zambia. Kuhusu suala la malawi, nalo naona halina madhara makubwa kwa Zambia hasa ukizingatia wamalawi wenyewe hawaitaki serikali iliyopo madarakani.

   
 10. Bishanga

  Bishanga JF-Expert Member

  #10
  Nov 6, 2011
  Joined: Jun 29, 2008
  Messages: 15,347
  Likes Received: 47
  Trophy Points: 0
  utoto!
  watu wazima hovyo!
   
 11. Mpui Lyazumbi

  Mpui Lyazumbi JF-Expert Member

  #11
  Nov 6, 2011
  Joined: Sep 1, 2010
  Messages: 1,853
  Likes Received: 146
  Trophy Points: 160
  Kwani hata Muwekezaji mkubwa wa Zambia ktk Madini na sekta nyingine nyingi China wamekwisha kwaruzana nae,katika moja ya mikutano yake ya kampeni Sata aliwaita Wachina sio wawekezaji bali ni Wakoloni!

  Hapo kwenye red sina kipingamizi.
   
 12. mwaJ

  mwaJ Tanzanite Member

  #12
  Nov 6, 2011
  Joined: Sep 27, 2007
  Messages: 4,076
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  Ni mbaya sana mtu kuongozwa na visasi. Ukiwa na visasi wakati wote unawaza kuumiza tu!
   
 13. T

  Thesi JF-Expert Member

  #13
  Nov 6, 2011
  Joined: Aug 8, 2010
  Messages: 998
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Alipatia pale alipowsita wachina wakoloni. ni kweli ni wakoloni. mpaka sasa shirika la haki za binadamu zinazingatia migodi inayomilikiwa na wachina kama sehemu zinazokiuka haki za msingi za binadamu, mazingira mabaya ya kufanya kazi na malipo duni.
  Mi nafikiri tafsiri ya utumwa ingeangaliwa upya kujumuisha kumtumikisha na kumlipa chini ya kiwango kinachokidhi mahitaji ya lazima. kwa maana hii makampuni na waajiri wanaolipa vibarua chini ya viwango vinavokubalika na kuwekwa kisheria wangefungiwa na kutangaza makampuni yanayotumikisha watu kitumwa.
  Wachina si watu kama walivo wahindi na waarabu wanaolipa watu pesa ambayo hata mimi siwezi kumlipa kibarua akinifanyia kazi ya muda.


   
 14. k

  king kong Senior Member

  #14
  Nov 6, 2011
  Joined: Aug 25, 2011
  Messages: 106
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Safi sana sata coz Mtharika anajeuri hata makamu wake wa rais mwanamke anamfanyizia kila siku. Hebu jiulize unakwenda kenya kutembelea raifiki yako unakamatwa ulikwenda kwa ndege ukarudishwa kwenye van na kupigwa prohibited Imigrant utajisikiaje?
   
 15. Ndahani

  Ndahani JF-Expert Member

  #15
  Nov 6, 2011
  Joined: Jun 3, 2008
  Messages: 14,328
  Likes Received: 1,794
  Trophy Points: 280
  I agree with you Mwawado. Siasa za visasi hazina tija africa. Zinatupotezea nguvu ya kushughulikia matatizo mengi yanayotuzunguka
   
 16. Butola

  Butola JF-Expert Member

  #16
  Nov 6, 2011
  Joined: Jan 19, 2010
  Messages: 2,222
  Likes Received: 90
  Trophy Points: 145
  Nakubaliana sana na maelezo yako, ila hapo kwenye red kidogo umekosea, Rais Satta na Rais wa zamani wa Malawi, Bakil Muluzi ni damudamu, na ndio chanzo cha bifu lake na Bingu wa Mutharika, nasharia satta atakuja kuwa Rais mbovu kuliko wote waliowahi kuiongoza Zambia...

  Refer: http://www.faceofmalawi.com/2011/10/sata-gives-banned-malawian-opposition-tvradio-licence-to-broadcast-from-zambia/
   
 17. Chapakazi

  Chapakazi JF-Expert Member

  #17
  Nov 6, 2011
  Joined: Apr 19, 2009
  Messages: 2,881
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  mkuu...hii haiwezi kutokea kwenye nchi zao! You simply call back ur ambassador and the staff!
   
 18. n

  nndondo JF-Expert Member

  #18
  Nov 6, 2011
  Joined: Feb 1, 2010
  Messages: 1,250
  Likes Received: 535
  Trophy Points: 280
  Mwacheni Sata afanye kazi yake kwa faida ya watu wake, nyie endeleeni tu kuwa mawakili wa kangaroo courts, mnashangaa nini ya sata kumuondoa bosi wa anti corruption. nyie kama mnategemea rais anayekuja aendelee na hosea na wakina feleshi ni upumbavu wenu, wazambia wameamua kuukata upumbavu shughulikeni na mambo yenu, halafu mnajiita great thinkers majungu tu ndio mnayoyajua matatizo yetu kibao hamna time mko busy na kumkosoa sata, ndio maana watu 43m mme sujudia kiongozi na serikali dhaifu hii hamfanyi lolote kazi ni kupiga domo tu humu, mnaboa,
   
 19. ndyoko

  ndyoko JF-Expert Member

  #19
  Nov 6, 2011
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 4,974
  Likes Received: 279
  Trophy Points: 180
  kwa hiyo we unasapoti 2015 Slaa amuache Hosea, Felesha na Manumba, weeeeeeeeeeeeeeeeeeeee! Tena watu aina ya kina Zuberi ndo unaanza nao ili upate mauzoefu na steam ipande then unawapandia watu kama kina Hosea, Rostam, Lowassa na wengineo.

  We unajua Babu Seya kafungwa kihalali au sababu ya visasi, tena visasi vya ngono sembuse Satta anafanya maamuzi ya maana na kwa manufaa ya nchin? Ishia zako hukooooooooo. Acha jamaa afanye mambo
   
 20. m

  mmaroroi JF-Expert Member

  #20
  Nov 6, 2011
  Joined: May 8, 2008
  Messages: 2,536
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  Haya ya Zambia yaja Tanzania kwa Jemadari Slaa kuja kuisafisha nchi yetu.
   
Loading...