Zambia: China kuchukua Uwanja wa ndege wa Kaunda kufidia deni, ishachukua shirika la umeme

Afrika itaendelea kuchunwa tu na nchi Matajiri duniani kutokana na kuwa na viongozi wapumbavu na wezi wasiojali matakwa ya wananchi wao bali maslahi yao tu. This should be an example to all fake African leaders, it's really pathetic and a shame kutokea.
 
Mkopo wowote usiyokuwa na Riba au wenye riba ndogo.There must be a very powerfull collateral to back ip the loan.Sasa mchina anakupa mkopo mkubwa wenyer 0% int.rate,halafu wanakwambia tuta back up na resorce fulani uliyo nayo.Huku wakijua kabisa hatuwezi kulipa huo mkopo kwa makusanyo yetu peke yake.
Tusipokuwa makini,we all gona be sold to chinese.
 
IMG_8560.JPG

Wengine tujiandae ila hii safari ni yetu sote kama kifo tu tunatofautina muda,leo tunawashangaa Zambia ila kesho wapo watakao tushangaa.
 
‪Imeripotiwa kuwa nchi ya China inataka kuuchukua Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Kenneth Kaunda wa nchi ya Zambia kutokana na nchi hiyo kushindwa kulipa madeni katika muda uliopangwa, tayari China imeshalichukua Shirika la Umeme la Zambia (ZESCO) source.#MillardAyo updates
 
Hii ndo ile kusema nchi imeuzwa tulikuwa nao sana huu msemo zamani
Nadhani kuna mahali niliwahi soma bible kuwa Dunia itatawaliwa na watu toka mashariki ya mbali wenye macho* yalivyoelezwa sikumbuki vema ila nadhani ni kama ya kichina, kisha inaeleza kuwa watu hao wanakula kila kitu.

*nirekebishwe endapo siko sahihi*

Kwa style hiyo ya wachina tunarudi utumwani na Nchi zetu zitakuwa makoloni ya wachina muda si mrefu kama si kizazi cha tatu toka kwetu basi huenda cha Nne.
 
Afrika bora ichukue mikopo yenye masharti toka Marekani maana sasa Rais wa Marekani harndekezi ushoga
 
Hii imewatokea Sri-lanka wamechukuliwa bandari miaka 99 ,hii imewatokea TAJIKISTAN wamechukuliwa Ardhi yao mwaka 2011 yenye 11585 k.,Zambia wanalia ,Cambodia wanalia,Djibouti wanalia,Montenegro wanalia,Pakistan wanalia,Laos wanalia,Maldives wanalia, Mangolia wanalia .huwa tunashuhudia mikopo inasamehewa hasa ya Nchi za ulaya na world bank au IMF ila ukila ya uchina lazima uliwe.

Ana projects zake mpya zinaitwa China's Belt and Road na initiative Gobal infrastructure-Building schemes, Rais wao anaita The project of 21 Century.

Lazima tufahamu sisi wa Afrika ,uchina anatafuta njia ya kuwa UNIPOLAR ,yaani Global superpower, yaani Taifa kubwa ulimwenguni hii miradi yote inayojengwa na wachina kuna namna tutapaswa kulipa sio ya bure ,sio Hisani (Grants) ,mikopo ya China haina uwazi wala Tathmini ndio maana nchi nyingi zinajikuta hushindwa kulipa na ukishindwa lipa yeye huchukua Resources uliyonayo mnaingia mkataba unaitwa Opaque Contract yaani kama ule wa Sri-lanka kutoa bandari kwa miaka 99.ndio kinachoendelea Huko Zambia na nchi zingine .

Tanzania tunachakujifunza juu ya mahusiano na China !,mchina anaijua hela zaidi ujuavyo kaulize Zambia wachina wameanza uza hadi biashara za mitaani rejareja (Street vendors).

Naishia hapo nisijeitwa mchochezi ila ukweli ndo huo.
 
tumwombe mungu mkuuu.....maana daaaah zambia nao msala umewakuta
 
Nchi zetu za afrika hazina mikakati yani zinapelekwa kama hayawan tu hatuwezi kujisimamia yan tufanye nn ili tuendelee aliyetuaali tuombe bas apunguze hoyo laana hata asolimia 1 kama hatuwezi kuifuta
 
Back
Top Bottom