Zamaradi atoa tamko baada ya kushindwa Ubunge

Status
Not open for further replies.
NAKUBALI.jpg



Fancy Nkuhi (right) baada ya kushinda kura za maoni!

katoto karembo hako kama kana Brain nzuri kwa uongozi saafi sana lakini kama ndo makapi yale yale kazi ipo
 
Hii ni dalili mbaya ya anguko la siasa ndani ya Tanzania. Ikitokea hata mwenda wazimu akaamka asubuhi na kutoa tamko la kugombea udiwani maana yake ni kwamba kesha ona siasi iliyopo ni ya kiwenda wazimu.
Si pendi kukosoa maamuzi yake kwani aliona hilo ni jambo lenye kuwezekana.
Na mimi pia nitajaribu next time.

Ingia mwaya kwenye Kinyang'anyilo naona uongozi sasa umekuwa kama mchezo wa Kidali po.
 
Haya sasa akina firstlady fursa ndiyo hiyo hata akina kopa wakigombea watapita hao kazi yao kupuliza mavuvuzela wakati zikisomwa hotuba hata kama hotuba zenyewe ni za kuwatukana ndugu zao
 
Inafika wakati CCM pamoja na vyama vingine viwe vinachuja wanasiasa wanaotaka uongozi kwa kuwafanyia upekuzi kabla hawajawathibitisha.
 
Ah Ubungeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
Huyu dada si angechagua kuwa modo. ametoka kwelikweli. baki hukohuko sisiemu na vision zako za kujiweka juu kupitia siasa. Angalia unapojiweka maana inaweza ikawa ndio mahala muafaka kulengwa shabaha na kasoro zako kuanikwa.
Yule binti Mtetema aliyekataa ndoa dakika za mwisho ni ndugu yako? nambie basi nipeleke posa
 
hivi mtu yoyote anaweza kuchukua fomu? hakuna masharti maalumu?
 
huyu comedian wa clouds FM anafaa kucheza KIDUKU, ila nimekapenda kana sura mwanana, kakinikubalia nakaoa rasmi.
 
Haya sasa wale wakora wa CCM, najua mate yanawatoka, mnatamani aingie au mmuingize kwenye sistimu yenu mumpatie hayo mapirapira yenu na kumpa vileee virusi vyenuuu, na mdogo wangu Zamradi kule sisiem kuna mafisadi wa ngono ukiwa maharage ya mbeya umeumia mdogo wangu, luk vere. Lakini BIG UP kwa kujaribu.
 
Haya sasa wale wakora wa CCM, najua mate yanawatoka, mnatamani aingie au mmuingize kwenye sistimu yenu mumpatie hayo mapirapira yenu na kumpa vileee virusi vyenuuu, na mdogo wangu Zamradi kule sisiem kuna mafisadi wa ngono ukiwa maharage ya mbeya umeumia mdogo wangu, luk vere. Lakini BIG UP kwa kujaribu.
Umenena mkuu na wachafuzi wamesikia
 
hongera zamaradi!kama kweli unapenda siasa usife moyo...........kuna uchaguzi nafasi mbalimbali ndani ya chama 2012 jitokeze tena na tena....pia umewakilisha wanawake na vijana wenzio wengi,kikubwa ni kujiheshimu kwa matendo na mavazi ili usiwape watu nafasi ya kukusema vibaya...nakuunga mkono!
 
katoto karembo hako kama kana Brain nzuri kwa uongozi saafi sana lakini kama ndo makapi yale yale kazi ipo

Lakini nguo aliyovaa ni kama inaonesha akili yake ilivyo. So inawezekana kabisa uwezo wake umeonekana na ndio maana hakuchaguliwa.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom