Zamani tuliambiwa kumkamata Komandoo mmoja kunahitajika wanajeshi 100 waliopata mafunzo, sijajua hawa wa Mbowe walikamatajwe!

ULOFA WA WANACCM UNATOKA WAPI HAPO KWENYE SUALA LA KUWAKAMATA MAKOMANDOO?
Komando hakamatwi kizembezembe kama vile unakamata jogoo
Kwenye sheria haki haipotei ngojeni nyie mapoccm mnyoonywe na wakina kibatala

Mlizoeya vya kunyonga vya halali hamviwezi.
 
Mengine si sana kusemwa hapa ila itoshe tu kusema wale katika kikosi kile ni Paratroopers yaani askari wa miavuli na si kwa uaskari huo mnaodhani wengi miili yao imejengeka kwa mazoezi na ndio wale wanaoonekana kipindi cha nyuma kwenye sherehe wakivunja matofari,kubeba mabegi mazito mgongoni nakadhalika.Kifuani kushoto utakuta wana full bawa la chuma au nusu bawa alie na bawa zima kamaliza kozi zote na alie na nusu hajamaliza kozi.Kwa nchi zetu za kiafrika komandoo(special forces)wanafichwa sana na kozi zao ni za kificho sana na hawaonekani kirahisi,Askari wa miavuli kivita wanaweza kujikuta wameaangukia behind enermy lines wakiwa kwenye harakati za kwenda kuteka miundombinu muhimu ya adui wakajikuta uso kwa uso na adui wakaanza kuzichapa kwanza kwa kwa mikono japo hii ilikuwa sana kwa mafunzo ya kizamani siku hizi tech imeongezeka sana.
 
Nawapongeza hao jamaa kwa kukubali kukamatwa kirahisi,kwani kama wangeleta mbwembwe za ukomandoo police wangelazimika kutumia nguvu zaidi na matokeo yake tungesikia majambazi yameuwawa wakati yakajibizana risasi na police,ni heri kutumia akili kuliko nguvu
 
pia tuliambiwa Muhammed Alli alipigana na Spinks kwa makubaliano kwamba mkono mmoja Alli afungwe nyuma mgongoni, Ali akawa anapokea kichapo cha kufa mtu, kocha wa Alli akasema LEEEEEFFTT…. Alli akakata kamba akarusha malefti, Spinks chali!
Hii kamba sitokujaga kuisahau ... Alipigwa konde mpaka Nguzo ya ulingo ikapinda daaah
 
Tuliambiwa kwamba ili umkamate/ umteke komandoo mmoja wa Jeshi patahitajikawanajeshi zaidi ya 100 waliopata mafunzo stahiki

Sijajua hawa makomandoo wa Mbowe walikamatajwe au zile za zamani zilikuwa ni story tu na kwamba komandoo anakamatika kikawaida tu?!!

Nawatakia Sabato yenye baraka!
Jeshi letu linazidi Jeshi la Marekani
 
Maiaka ya zamani tulilishana kamba nyingi sana, na tulikua tukiaminiana balaa hahaha hapa ndipo tulizidi kufungana makatanani ...
 
Tuliambiwa kwamba ili umkamate/ umteke komandoo mmoja wa Jeshi patahitajikawanajeshi zaidi ya 100 waliopata mafunzo stahiki

Sijajua hawa makomandoo wa Mbowe walikamatajwe au zile za zamani zilikuwa ni story tu na kwamba komandoo anakamatika kikawaida tu?!!

Nawatakia Sabato yenye baraka!
😆 😆 😆
 
Mbowe ana makomandoo siku hizi? amewapata wapi?
 
Komando ni jina tu jamani musiaminishwe vibaya hao ni watu wa kawaida tu ndio maana polisi waliwadaka kama watoto wadogo.Msitishike na mbwembwe zao zakuvunja tofali pale Lupaso.Hao ni mamas tu.
 
Komando ni jina tu jamani musiaminishwe vibaya hao ni watu wa kawaida tu ndio maana polisi waliwadaka kama watoto wadogo.Msitishike na mbwembwe zao zakuvunja tofali pale Lupaso.Hao ni mamas tu.
Pc katika ubora wako. Siku uje ukutane na huo mziiki ground, ndio utajua picha halisi ya hiyo mijiitu.
 
Back
Top Bottom