Enzi zile nilikua napenda nione vijana wanawekwa kwenye vyeo vya ukuu wa wilaya/mkoa ana hata uwaziri, nilikua nikiamini vijana watasaidia pakubwa kusukuma maendeleo haraka nikipenda wazee wapishe vijana kwenue hizo nafasi.
Lakini mpaka sasaivi nikiangalia mifano ya hawa vijana waliopo naona kumbe nilikua najidanganya ni heri waendelee wazee tu.
Vijana ni utupolo mtupu, kujipendekeza, kutafuta kiki na kupenda sifa za kijinga halafu ubunifu zero!
Nalog out