Zamani nikisafiri nilikuwa napenda mda wa kuchimba dawa porini...

Siku hizi kuna Camera za chabo, mjihadhari Abiria, hasa Arusha /Dar/ Musoma, camera zinaunganishwa na Tochi la Police traffic, ukichungulia tu unashushwa kituo cha Polisi mbele! mwenyewe utajua kosa lako tu .
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom