Zamani kuna waliokuwa wanaona fahari kununuliwa kwenda utumwani. Hali imejirudia

Chakaza

JF-Expert Member
Mar 10, 2007
39,745
71,103
Ziko simulizi kuwa wakati wa enzi za utumwa, kutokana na ujinga wapo watu waliona ni fahari kununuliwa na mwarabu kwenda utumwani. Ndio maana kina Tip Tip hawakuwa wanapata upinzani mkubwa kwenye biashara hiyo.

Hali hiyo imejirudia katika kipindi hiki cha awamu ya tano kwa wanasiasa kukubali kununuliwa kuwa watumwa (kufungwa midomo) ndani ya chama tawala ambacho kinafahamika kwa jinsi kinavyo endeshwa ki dikteta na kauli ni ya mmoja tuu.

Je mtu kama Kitila yale mawazo yake fikirishi anaweza kuyatoa Leo? Ni wazi yuko utumwani. Msando jee? Huyo wa Kinondoni sijui anaitwa nani na yeye jee?

Sasa hawa wanatofauti gani na wale waliojipeleka kwa mwarabu awanunue kupeleka utumwani? Kumbe kuna watu bado wana akili za miaka ya 1800?
 
Historia itakuja kuwahukumu kwa unafiki na usaliti wao, waelewe unafiki na usaliti wao wa kuhongwa utaendelea kuwatafujna hadi uzao wao!
 
Ndio babu zao 50cent,nawale matajiri weusi wa marekani leo hii babu yako angeeuzwa huko usingekuwa unalia na chama cha majangili ccm
 
Walivyo rahisi kununuliwa ni rahisi hata nchi kuiuza kwa mabepari hawafai kupewa dola!
ed6120ae9f08a5146a10e90644848ac9.jpg
 
Ziko simulizi kuwa wakati wa enzi za Utumwa, kutokana na ujinga wapo watu waliona ni fahari kununuliwa na mwarabu kwenda utumwani. Ndio maana kina Tip Tip hawakuwa wanapata upinzani mkubwa kwenye biashara hiyo.
Hali hiyo imejirudia katika kipindi hiki cha awamu ya tano kwa wanasiasa kukubali kununuliwa kuwa watumwa (kufungwa midomo) ndani ya chama tawala ambacho kinafahamika kwa jinsi kinavyo endeshwa ki dikteta na kauli ni ya mmoja tuu.
Jee MTU kama Kitila yale mawazo yake fikirishi anaweza kuyatoa Leo? niwazi yuko utumwani. Msando jee? huyo wa Kinondoni sijui anaitwa nani na yeye jee?
Sasa hawa wanatofauti gani na wale waliojipeleka kwa mwarabu awanunue kueapeleka utumwani? Kumbe kuna watu bado wana akili za miaka ya 1800?
ahahahhaaa wameelekezwa LIBYA
 
Kwa jinsi ulivyo introduce mada Mimi nikajua unawazungumzia wale wa libya kumbe unazungumzia slaves wa kibongo...
 
Ziko simulizi kuwa wakati wa enzi za Utumwa, kutokana na ujinga wapo watu waliona ni fahari kununuliwa na mwarabu kwenda utumwani. Ndio maana kina Tip Tip hawakuwa wanapata upinzani mkubwa kwenye biashara hiyo.
Hali hiyo imejirudia katika kipindi hiki cha awamu ya tano kwa wanasiasa kukubali kununuliwa kuwa watumwa (kufungwa midomo) ndani ya chama tawala ambacho kinafahamika kwa jinsi kinavyo endeshwa ki dikteta na kauli ni ya mmoja tuu.
Jee MTU kama Kitila yale mawazo yake fikirishi anaweza kuyatoa Leo? niwazi yuko utumwani. Msando jee? huyo wa Kinondoni sijui anaitwa nani na yeye jee?
Sasa hawa wanatofauti gani na wale waliojipeleka kwa mwarabu awanunue kueapeleka utumwani? Kumbe kuna watu bado wana akili za miaka ya 1800?
Umeandika uzi mzuri sana

Ova
 
tutafika tu siku ambayo atakia na aliowanunua huku wananchi wakiwa upande mwingine
 
Na ukikataa kununuliwa unatwangwa risasi,
Naona hata wanunuliwa wameshtuka baada ya kuona dharau wanazopata mbele ya jamii. Pamoja na mshiko lakini kutukanwa huku una make na watoto yataka moyo mzito na wa chuma!
 
Back
Top Bottom