Chakaza
JF-Expert Member
- Mar 10, 2007
- 39,797
- 71,217
Ziko simulizi kuwa wakati wa enzi za utumwa, kutokana na ujinga wapo watu waliona ni fahari kununuliwa na mwarabu kwenda utumwani. Ndio maana kina Tip Tip hawakuwa wanapata upinzani mkubwa kwenye biashara hiyo.
Hali hiyo imejirudia katika kipindi hiki cha awamu ya tano kwa wanasiasa kukubali kununuliwa kuwa watumwa (kufungwa midomo) ndani ya chama tawala ambacho kinafahamika kwa jinsi kinavyo endeshwa ki dikteta na kauli ni ya mmoja tuu.
Je mtu kama Kitila yale mawazo yake fikirishi anaweza kuyatoa Leo? Ni wazi yuko utumwani. Msando jee? Huyo wa Kinondoni sijui anaitwa nani na yeye jee?
Sasa hawa wanatofauti gani na wale waliojipeleka kwa mwarabu awanunue kupeleka utumwani? Kumbe kuna watu bado wana akili za miaka ya 1800?