Zamani DCI na DPP walikuwa chini ya IGP na ushahidi wa upande wa mashtaka ulikuwa unanyooka tofauti kabisa na baada ya maboresho!

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
51,034
2,000
Huwa sielewi ni kwanini mashahidi wa mashtaka huwa wanapata wakati mgumu wanapohojiwa na mawakili wa utetezi na hasa ikizingatiwa kuwa mashahidi wa Jamhuri huandaliwa na DPP tena mashahidi wengine ni wanasheria kitaaluma ( wana LLB )!!

cc: Pascal Mayalla
 
Utingo

JF-Expert Member
Dec 15, 2009
7,890

Uongo ni uongo tu hata ukisemwa na malaika
 
Bila bila

JF-Expert Member
Dec 20, 2016
15,310
2,000
Huwa sielewi ni kwanini mashahidi wa mashtaka huwa wanapata wakati mgumu wanapohojiwa na mawakili wa utetezi na hasa ikizingatiwa kuwa mashahidi wa Jamhuri huandaliwa na DPP tena mashahidi wengine ni wanasheria kitaaluma ( wana LLB )!!

cc: Pascal Mayalla
Watu wengi wanafungwa mahakamani Kwa kesi kubwa kutokana na kukosa uwakilishi thabiti wa kisheria. Kesi nyingi ambazo waanzilishi ni Polisi huwa zina matobo mengi kwenye ushahidi Kwa sababu wanapenda kufunga watu Kwa lazima. Unawezaje kwenda kukamata mtuhimiwa wa ugaidi ukaacha kuchukua Shahidi wa Kudumu wa eneo husika unamchukua mfanyabiashara anayeweza kuhama Kesho asubuhi na bidhaa zake? Kesi nzima inategemea implicating evidence ambayo ni caution statement ya msht no.2. Let'a Sasa ushahidi wa kuunga mkono hayo unawayawaya tu. Kila Shahidi unayeleta afadhali wa Jana. Mahita alishiriki kwenye trial within trial lakini Leo utafikiri mgeni mahakamani na LLB yake.
 
Masokotz

JF-Expert Member
Nov 26, 2018
2,512
2,000
Hii kesi ilipangwa iendeshwe kwa mfumo wa upelelezi bado unaendelea huku Mbowe akiwa Rumande.Sasa mambo yakavurugika wakaanza kupotezana
 
Masokotz

JF-Expert Member
Nov 26, 2018
2,512
2,000
Watu wengi wanafungwa mahakamani Kwa kesi kubwa kutokana na kukosa uwakilishi thabiti wa kisheria. Kesi nyingi ambazo waanzilishi ni Polisi huwa zina matobo mengi kwenye ushahidi Kwa sababu wanapenda kufunga watu Kwa lazima. Unawezaje kwenda kukamata mtuhimiwa wa ugaidi ukaacha kuchukua Shahidi wa Kudumu wa eneo husika unamchukua mfanyabiashara anayeweza kuhama Kesho asubuhi na bidhaa zake? Kesi nzima inategemea implicating evidence ambayo ni caution statement ya msht no.2. Let'a Sasa ushahidi wa kuunga mkono hayo unawayawaya tu. Kila Shahidi unayeleta afadhali wa Jana. Mahita alishiriki kwenye trial within trial lakini Leo utafikiri mgeni mahakamani na LLB yake.
We ukimuangalia mahita livo na geneology yake unaelewa kabisa utarajie nini kwake.
 
mdukuzi

JF-Expert Member
Jan 4, 2014
9,808
2,000
Kweli John. Ila kwakweli kama ninavyoona sijaona sehemu ya kumtia Mbowe hatiani. Wanaweza kuwabana wale wengine ila kulinc na Mbowe watapata taabu sana. Halafu hukumu ya Sabaya imeaffect hii kesi.
Hukumu ya sabaya imeafect in favor of watuhumiwa,sasa inaonekana dhahiri,imeshakuwa ya kisiasa sasa, sabaya jumanne wameshakuwa proved na mahakama kuwa ni wahalifu na wazee wa kubambika watu kesi
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom