Mvaa Tai
JF-Expert Member
- Aug 11, 2009
- 6,159
- 4,437
1. Nakumbuka zamani Shilingi tano ilikuwa inaitwa Dala kwasababu ilikuwa sawa na dola moja ya Kimalekani,
2. Kwasasa Airtime kiasi cha Shiringi elfu moja kinaitwa dola moja.
3. Nakumbuka pia kuna kipindi shiringi ishirini ya Tanzania ilikuwa inaitwa Paundi.
Paundi ilimaanisha nini?
2. Kwasasa Airtime kiasi cha Shiringi elfu moja kinaitwa dola moja.
3. Nakumbuka pia kuna kipindi shiringi ishirini ya Tanzania ilikuwa inaitwa Paundi.
Paundi ilimaanisha nini?