SoC01 Zama zinavyobadilika ndivyo kila kitu kinavyohitaji kuendelezwa pia

Stories of Change - 2021 Competition

Theb

JF-Expert Member
Jan 25, 2019
3,929
7,268
Dunia inaenda kasi wala haifanani na ya miaka 200+ iliyopita. Kila taifa linajitafutia njia za kujipatia mapato na kurahisisha huduma zake kuendana na kasi ya teknolojia inakua na kutanuka kila uchwao.

Bara la Afrika bado lipo nyuma kwa kiasi kiteknojia ukifananisha na mabara ya Ulaya, Amerika na Asia kwenye kila idara.

Teknolojia ni matumizi ya maarifa ya kisayansi anayoyafanya mwanadamu katika maisha yake ya kila siku ili kuzidi kurahisisha shughuli zake. Teknolojia kwa sasa ndio muhimili wa kila sekta duniani iwe kilimo, viwanda, uvuvi, ubunifu na usanifu, elimu, afya na hata masuala ya kijeshi pia katika usafirishaji pia teknolojia inatumiwa kuboresha sekta hizo.

JINSI TEKNOLOJIA ILIVYOWEZA KULETA MAENDELEO DUNIANI

I. Teknolojia na sekta ya mawasiliano duniani.

Hii ni moja ya sekta zinazoendana na mabadiliko ya teknolojia duniani
Mfano picha chini inaomesha moja ya simi za zamani iliyopata kugunduliwa na kutumika kuanzia mwaka1876
Bell-Telephone.jpg


Na picha inayofuata inatuonesha simu ya mkononi iliyoboreshwa na kutumika miaka ya 2012+
photo-1511707171634-5f897ff02aa9.jpg
chanzo cha picha mtandaoni.

Kwa kuziangalia simu hizo tunaona utofauti mkubwa ya kwanza inaonesha ikiwa ya zamani ilokuwa haina huduma nzuri kama ya pili kwenye picha. Maboresho ya kiteknolojia yamesaidia sekta ya mawasiliano.

II. Teknolojia na sekta ya usafirishaji.

Usafirishaji hapa tunaangalia usafiri wa angani, aridhini na kwenye maji.
220px-Boomstamkano_van_Pesse%2C_Drents_Museum%2C_1955-VIII-2.jpg
picha hii inaonesha inayosemekana kuwa ndio usafiri wa kwanza wa majini.
maxresdefault.jpg
picha hii inaonesha moja ya meli za kizazi cha sasa. Hapa utofauti unaonekana kuanzia ubora. Uimara ukubwa na uwezo.

Usafiri wa arithini. Barabara na njia za reli
Tuone picha za gari moja ya zamani na za karne hii
HF11_r153_01.jpg
hii inaonesha gari moja ya iloyotumika miaka ya nyuma
most-expensive-cars-in-the-world-main.jpg
picha hii inaonesha gari za kizazi cha sasa zilizoboreshwa na kuendana na ukuaji wa teknolojia na zenye uwezo mkubwa na spidi kubwa.
300px-The_Queen_in_a_somewhat_dilapidated_condition._Nevertheless%2C_my_tenth_visit_was_of_wor...jpg
hii ni moja ya gari moshi ya teknolojia ya zamani tofauti na za teknolojia ya sasa
Top%2010%20Fastest%20Trains%202.jpg
Top%2010%20Fastest%20Trains%204.jpg
hizi ni treni za kisasa zilizobora zaidi kuliko zile za zamani.
Usafiri wa angani
oldest20plane_1543598524290.jpg_63673231_ver1.0.jpg
ndege inayosemekana ya karne zilizopota
_118370848_6a82a527-b9a6-4167-8b54-637b17257fc8.jpg
moja ya ndege za kizazi cha sasa inayoendana na teknolojia.

III. Teknolojia kwenye elimu pamoja na afya.

Teknolojia ikitumika vizuri kwenye suala la kutolea elimu itasaidia kuongeza maarifa ya sayansi yatakayoleta faida pia ndani ya ukuaji wa teknolojia kwa ujumla vinategemeana.
Afya. Hapa kuna picha zinaonesha vifaa vya tiba hospitalini zamani na vya kisasa.
SurgicalInstrumentsWellcomeL0012385.jpg
picha hii inaonesha vifaa tiba vya zamani vilivyo duni kulinganisha na vya sasa vilivyoboreshwa
istockphoto-1015934992-612x612.jpg
hivi ni baadhi ya vifaa tiba na chumba maalumu cha kutibia wagonjwa vya kizazi hiki cha sasa ni bora ukilinganisha na vya zamani katika picha hapo juu.

IV. Teknolojia na zana za kijeshi.

rattail1.jpg
moja ya bunduki za zamani
71m-JcS4XvS._AC_SL1500_.jpg
moja ya bunduki za kizazi hiki.
Ukiangali hizo picha unaona utofauti wa ubora, uwezo na spidi katika utendani.

V. Teknolojia na viwanda duniani.

boys-mill-Macon-Georgia-1909.jpg
moja ya mashine ya kiwanda moja wapo zamani.
lamborghini-factory-huracan-korn-ht-mem-180628_hpMain_16x9_384.jpg
944b540d-9137-4384-a36d-0b97608e272e.jpg
viwanda vya kisasa vinavyoendana na teknolojia. Hapo utofauti upo mkubwa kuanzia uzalishaji usalama wa wafanyakazi na ubora wa bidhaa. Yote kutokana na teknolojia

VI. Teknolojia na kilimo duniani.

Picha mbili zifuatazo zitaonesha jembe la mkono na trekta.
Jembe.jpg
hili ni jembe la mkononi ambalo linatumiwa na wakulima wengi nchini.
farming-tractor.jpg
trekta linalotumika katika shughuli za shambani. Trekta katika kilimo ni bora ukilingamisha na jembe la mkono kwa kuwa jembe la mkono linatumia muda mrefu kulima eneo dogo tofauti na trekta linatumia muda kidogo.

VII. Teknolojia na uvuvi.

300px-Charles_Napier_Hemy_-_The_Fisherman_1888.jpg
uvuvi wa kienyeji ambao teknolojia yake sio kubwa kwa sasa
Bottom-trawl-500-nosm20i1ky59n3db6kwcd2h4pkhqk8rg9iw5f6f3qk.jpg
mfano wa uvuvi wa kisasa unao tumia teknolojia iliyo bora ukilinganisha na picha ya mwanzo.

VIII. Teknolojia kwenye michezo na burudani.

Napo huku tutaona viwanja, kumbi za burudani kale na sasa
20180316-The18-Images-Worst-Football-Pitches-Fields-Feature.jpg
moja ya kiwanja kilichotumika zamani kipindi teknolojia haijavumbua nyasi bandia
Simba-vs-Al-Ahly.jpg
kiwanja cha nyasi bandia zilizobora katika mchezo wa mpira wa miguu duniani.

Burudani
retro-tape-player-vintage-cassette-260nw-1431106103.jpg

Kifaa cha kidigitali kinachotumika kusikilizia mziki nk
Picha zote nilizotumia vyanzo ni mtandaoni.

Kupitia picha zimeonesha utofauti uliopo katika sekta mbalimbali toka zamani teknolojia ikiwa mdogo.mpaka sasa ambapo teknolojia imebadilisha kila kitu.

Faida za teknolojia kwa tulivyoona picha hapo juu ni kama ifuatavyo:-

I. Kuongeza uzalishaji mfano kwenye kilimo na viwandani. Angalia picha juu. Utaona utaofauti wa trekta na jembe katika kilimo.

II. Kuboreshwa kwa hudumu mbalimbali. Mfano huduma za afya ukiangalia vifaa vya zamani.

Hapa husaidia kupunguza idadi ya vifo visivyoweza kuepukika na huongeza nguvu kazi kwa kuhakikisha upatikanaji wa huduma bora za afya.
MfanoView attachment 1886173chanzo cha picha mtandaoni.

III. Kurahisisha na kutunza muda.

Teknolojia inasaidia katika suala la muda mfano gari la zamani litatumia muda mwingi kusafiri ukilingamisha na gari za kisasa angalia picha juu. View attachment 1886167chanzo cha picha mtandaoni.

IV. Teknolojia imekuza biashara baina ya nchi moja na nyingine, mtu mmoja wa nchi moja na nchi zingine kutokana na uwepo wa vyombo vya usafiri mfano ndege, treni, meli na meli.

Dunia ya sasa watu wengi hufanya biashara kwa njia za mitandao kutoka bara moja kwenda lingine. Mfano Tanzania wafanyabiashara wengi wanaoingiza bidhaa kutoka ughaibuni wanafaidika na ufanisi wa teknolojia ya mawasiliano.View attachment 1886178Chanzo cha picha mtandaoni


V. Teknolojia imerahisisha mawasiliano kupitia uwepo wa simu za mkononi, komputa na vifaa vingine vyote vya mawasiliano.

Hii imesaidia watu mkoa au nchi moja kuwasiliana na mkoa au nchi nyingine kwa haraka zaidi tofauti na kipindi teknolojia ni ndogo.View attachment 1886166chanzo cha picha mtandaoni.

VI. Teknolojia hutumika pia katika ulinzi wa taifa lolote kwa sasa duniani.

Ni wazi mataifa mengi duniani yamewekeza kwa hali ya juu kiteknolojia katika majeshi yao mfano jeshi la Urusu, Marekani na china wana vifaa vya kijeshi vya teknolojia ya juu. View attachment 1886188View attachment 1886189

Hizo ni baadhi tu nilizotoa. Sio zote zipo faida nyingi saana kupitia teknolojia ambazo hutupa mchango wa moja kwa moja katika kukuza uchumi, kuboresha na kurahisisha upatikanaji wa huduma.

Kila chenye faida pia kina hasara zake. Zifuatazo ni baadhi ya hasara za teknoloji kukua:-

1. Baadhi ya wafanyakazi wapo hatarini kukosa kazi zao kutokana na ugunduzi wa robots.
View attachment 1886193

2. Uharibifu wa mazingira. Hii ni kutokana na kemikali zinazotumiwa viwandani zote zinasababisha uharibifu wa mazingira kwenye vyanzo vya maji, angani, aridhini na kelele kwenye jamii.

3. Teknolojia pia imeleta baadhi ya zana za kijeshi ambazo zinatumika kuua watu. Mfano mabomu. Bunduki kila kukicha vifo vinatokea vinavyosababishwa na watu kupigana risasi na milipuko ya mabomu.View attachment 1886196

4. Teknolojia imeleta kuingiliana kwa maadili kulitia utandawazi. Baadhi ya jamii hususani za kiafrika zimeacha tamaduni zao na kuiga tamaduni za jamii zingine bila kujua misingi ya tamaduni wanazoiga.

retro-tape-player-vintage-cassette-260nw-1431106103.jpg


0d5e2310bed1b9756ec81e08705eb636cf20ae57_original.jpg
 
Msisahu hapa pia ni letu pia tulisome tukosoe, tupigie kura na kujadili
 
Tusome andiko hili pia na kura tuzipigi zote hapa
 
Nimejifunza mengi ya kweli , sijafahamu njia ya kupinga kura
kupiga kura tumia browsers km opera min nk.utaiona option inafanana na picha hz

Polish_20210926_082320688.jpg

Kwa simu inakua.chini.mwisho. wa uzi kabla ya comment
 
Back
Top Bottom